Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Vipi kuhusu Asalamaleko?Shallom ni salam ya israel kama kusema habari hapa Tanzania.
Cha kushangaza walokole wameifanya salam takatifu
Vipi kuhusu Asalamaleko?Shallom ni salam ya israel kama kusema habari hapa Tanzania.
Cha kushangaza walokole wameifanya salam takatifu
Mkuu nikianza kukupiga maswali ya kidini unaweza kunijibu vizuri?Hapa unasema ROHO WA MUNGU kwa sababu ni super power spirit na ni ya kwake katika nafsi ya huduma katika kufundisha
-hvo hutumia ROHO WA MUNGU kutokana na nguvu, mamlaka, umiliki na uwezo wa ki MUNGU uliopo ndani yake
-lakn huwezi sema roho wa secretarybird kwa sababu huna mamlaka wala nguvu yake badala yake tunasema roho ya secretarybird kwa sababu uligaiwa na huna uwezo wa kuigawa.
Huyo sio mlokole mkuu😂Hakika naona mshaanza kupandisha sukari 😂
FactUkilaani Israel umelaniwa
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh: amani iwe juu yakoVipi kuhusu Asalamaleko?
Mti wenye matunda ndio unapigwa mawe, okoka kwa yesu kuna rahaHakika naona mshaanza kupandisha sukari 😂
Mkuu pale yesu atakaporudi kwa mara ya pili ndo utaelewa tunamaanisha nini na utakuwa umeshachelewa.Hakika naona mshaanza kupandisha sukari 😂
Hapana sishindwi, na mimi ni mktisto pia, niko hapa kutetea na kubaki kwenye misingi ya dini..kuwatoa nje ya msitari wapuuzi wachache wanaotaka kuaribu kabisa mantiki ya ukristo.Ushindwe kwa jina la yesu , wewe una roho ya mpinga Kristo
Hakuna mwenye uhakika, endelea kusali bila kuchoka na kutenda yaliyo memaMkuu pale yesu atakaporudi kwa mara ya pili ndo utaelewa tunamaanisha nini na utakuwa umeshachelewa.
Wewe ni dhehebu gani mkuu.Hapana sishindwi, na mimi ni mktisto pia, niko hapa kutetea na kubaki kwenye misingi ya dini..kuwatoa nje ya msitari wapuuzi wachache wanaotaka kuaribu kabisa mantiki ya ukristo.
Hakuna ukristo mambo leo.
Mmeingiza matakataka mengi kwenye ukristo.
Saiz tunaona zinabarikiwa ndoa za jinsia moja(havimiliki)
Tunaona wanawake wanakuwa wachungaji na inachukuliwa ni kawaida.
Watu wanasali kwa kupiga mayowe.
Watu wanaongea lugha za ajabu kwamba wanawasiliana na Mungu kwa lugha maalum.
Kanisani kumekuwa na michango lukuki kupitiliza na imekua ni kawaida.
Makanisa yamekuwa na mamisalaba na mapicha ya Yesu(haikubaliki) na wacha nichambue hii
Waebrania11:1
“Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo, ni hakika mambo yasiyoonekana”
Imani ni bayana ya mambo ya kiroho mambo yasiyo-onekana. Yatupasa kuamini bila ya kuona.
Picha ya Yesu na nan ana uwakika kweli yule ni yesu? Kuna matoleo mangapi za picha za yesu?
MSALABA
Nan ana uwakika yesu alipigiliwa kwenye jumlisha ama x ama fito iliyosimama?
Biblia ilipotaka tuamini pasipo kuona, Mungu alishajua kuna…. Inatosha
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
Okoka mpendwa yesu anakupenda , bila kubatizwa kwa maji marefu na kumpokea yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yngu ni kazi bureHapana sishindwi, na mimi ni mktisto pia, niko hapa kutetea na kubaki kwenye misingi ya dini..kuwatoa nje ya msitari wapuuzi wachache wanaotaka kuaribu kabisa mantiki ya ukristo.
Hakuna ukristo mambo leo.
Mmeingiza matakataka mengi kwenye ukristo.
Saiz tunaona zinabarikiwa ndoa za jinsia moja(havimiliki)
Tunaona wanawake wanakuwa wachungaji na inachukuliwa ni kawaida.
Watu wanasali kwa kupiga mayowe.
Watu wanaongea lugha za ajabu kwamba wanawasiliana na Mungu kwa lugha maalum.
Kanisani kumekuwa na michango lukuki kupitiliza na imekua ni kawaida.
Makanisa yamekuwa na mamisalaba na mapicha ya Yesu(haikubaliki) na wacha nichambue hii
Waebrania11:1
“Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo, ni hakika mambo yasiyoonekana”
Imani ni bayana ya mambo ya kiroho mambo yasiyo-onekana. Yatupasa kuamini bila ya kuona.
Picha ya Yesu na nan ana uwakika kweli yule ni yesu? Kuna matoleo mangapi za picha za yesu?
MSALABA
Nan ana uwakika yesu alipigiliwa kwenye jumlisha ama x ama fito iliyosimama?
Biblia ilipotaka tuamini pasipo kuona, Mungu alishajua kuna…. Inatosha
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
Yesu hakuacha dini.Wewe ni dhehebu gani mkuu.
Kwahiyo watu wasipokee roho mtakatifu wakanena kwa lugha mpyaa🫥🫣Hapana sishindwi, na mimi ni mktisto pia, niko hapa kutetea na kubaki kwenye misingi ya dini..kuwatoa nje ya msitari wapuuzi wachache wanaotaka kuaribu kabisa mantiki ya ukristo.
Hakuna ukristo mambo leo.
Mmeingiza matakataka mengi kwenye ukristo.
Saiz tunaona zinabarikiwa ndoa za jinsia moja(havimiliki)
Tunaona wanawake wanakuwa wachungaji na inachukuliwa ni kawaida.
Watu wanasali kwa kupiga mayowe.
Watu wanaongea lugha za ajabu kwamba wanawasiliana na Mungu kwa lugha maalum.
Kanisani kumekuwa na michango lukuki kupitiliza na imekua ni kawaida.
Makanisa yamekuwa na mamisalaba na mapicha ya Yesu(haikubaliki) na wacha nichambue hii
Waebrania11:1
“Imani ni bayana ya mambo yatarajiwayo, ni hakika mambo yasiyoonekana”
Imani ni bayana ya mambo ya kiroho mambo yasiyo-onekana. Yatupasa kuamini bila ya kuona.
Picha ya Yesu na nan ana uwakika kweli yule ni yesu? Kuna matoleo mangapi za picha za yesu?
MSALABA
Nan ana uwakika yesu alipigiliwa kwenye jumlisha ama x ama fito iliyosimama?
Biblia ilipotaka tuamini pasipo kuona, Mungu alishajua kuna…. Inatosha
Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa
Ndugu yangu acha kwenda kwa waganga, acha uzinzi, pombe n.k.Hakuna mwenye uhakika, endelea kusali bila kuchoka na kutenda yaliyo mema
Saafi tupange siku tukusanyike mimi na wewe kuna maswali unijibu😂🙏Yesu hakuacha dini.
Mimi ni mkristo. Maana yake mfuasi wa kristo.
Wakusanyikapo wawili watatu kwa ajili yake, teyari ni kanisa.
Hajasema dhehebu.
Ukifata madhehebu utapotea
Huwezi kuokoka ukiwa hai.Okoka mpendwa yesu anakupenda , bila kubatizwa kwa maji marefu na kumpokea yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yngu ni kazi bure
naam naamNdugu yangu acha kwenda kwa waganga, acha uzinzi, pombe n.k.
"Amelaaniwa mtu yule amtumainie mwanadamu...".
😂😂dah ila baba angu wewe🙌Okoka mpendwa yesu anakupenda , bila kubatizwa kwa maji marefu na kumpokea yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yngu ni kazi bure
Mkuu hii sio battle, tunajaribu kuelimishana.Saafi tupange siku tukusanyike mimi na wewe kuna maswali unijibu😂🙏