Jameni walokole, hivi haya maneno mnayatumia vile yanavyopaswa ama mnatulisha matangopori?

Wewe kama mjuzi wa mbo haya unadhani roho za hawa watu zitakwenda wapi?
Mimi kama msomaji huwa nachukua tahadhari katika mgongano wa kimawazo na MUNGU

Mkuu
Isaya 55:8-9 inatuonya kuhusu hili
biblia inasema mawazo na matendo yetu kama binadamu hayafanani na MUNGU, hivyo mawazo ya MUNGU hayachunguzuki, na hapo ndo nakwambia tusubiri hukumu ya MUNGU
 
Bora wewe umejibu hivyo lakini utakuta kuna wapumbavu utakuta wanaanza kujitungia mambo ambayo hata kwenye Biblia hayapo ili mradi tu waonekane wanajua
 
Kwani bibilia unasemaje kuhusu wale wasiomjua mungu/wasioijua bibilia?

Jibu la hapo likipatikana labda tunaweza kupata mwanga kwa mbali.
 
Kwani bibilia unasemaje kuhusu wale wasiomjua mungu/wasioijua bibilia?

Jibu la hapo likipatikana labda tunaweza kupata mwanga kwa mbali.
Biblia inasema wasiomjua na kumuamini MUNGU, eneo lao ni lile ziwa liwakalo moto.

kuna hoja pembeni "nani ajuaye matendo ya hawa watu kabla ya ujio wa ukristo?

unajua kuwa kabla ya ujio wa ukristo, habari za MUNGU zilikuwepo duniani kote. biblia inatambua kuhusu neno la MUNGU katika bara la afrika kurudi nyuma hadi siku za mababu zetu huko meriba
 
Kabla ujio wa wakristo habari zilizojukikana ni za miungu, kama habari za mungu kweli zilijulikana basi ni kwenye maeneo machache mno. Hapa ndipo mkanganyiko unapokuja.
 
Ukilaani Israel umelaniwa
Mathayo 23:37
[37] “Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka!

Hao wayahudi wamelaaniwa.
 
Wayahudi wali msurubu masiha😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…