Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
...rejeaSasa hata picha la huyo jamaa wa kuogofya hujatuwekea.
Tutaamini vipi kwamba anaogofya
Naona unampaisha ndugu yako!Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.
Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.
Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
....hahaha!Naona unampaisha ndugu yako!
Bado upo Kigali? Au umerudi Geita?
...rejea
Trust me.Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.
Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.
Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Amekuja kuweka sawa diplomasia ya kijasusi maana Rwanda imeshayatimbanganya korido za ujasusi baina yake na TZNi Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.
Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.
Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
....aiseee!Trust me.
Huyu jamaa siku Kikwete anaapishwa...nilikuwa na huyu mtu..sehemu inaitwa Oumurushaka...tukifuatilia kwenye luninga.
N.B.
Oumurushaka ni hapa hapa Tanzania.
Sasa unataka nini.. Tumtukuze huyu mamluki. Hawa ni watu wabaya sana. Ni wakabila na wambari sana. Wameleta shida na mauaji ya ya mamilioni ya watu eneo la maziwa makuu kwa kutumika na wamarekani kuendeleza maslahi yao. Ona jinsi wamesababisha shida eneo la mashariki ya congo huku wao wakitengeneza mabilioni kutokana na madini wanapora congo. Kagame anaorodheshwa kama rais wa tano au wa sita kwa utajiri afrika. Ni mshituko kama huyu mshikaji wake yuko tanzania maana atakua na mipango miovu ya kagame.Ni Kamanda la vita mda wote ambaye kwa jina ni James Kabarebe.
Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Kabarebe, ni mtu anayeaminiwa mno na Rais wa Rwanda na anatajwa ndiye mrithi wa baadae wa Paul Kagame bila kujali umri wake.
Yamhusuyo huyo Jemedari ni mengi. Nakualika peruzi kwenye mitandao ya Kijamii ili ujifunze mengi yamhusuyo.View attachment 2867168
Ongezea nyama mkuu!Trust me.
Huyu jamaa siku Kikwete anaapishwa...nilikuwa na huyu mtu..sehemu inaitwa Oumurushaka...tukifuatilia kwenye luninga.
N.B.
Oumurushaka ni hapa hapa Tanzania.
Tizama marudio ya mechi ya mlandenge na APR jana alikuwa jukwaa kuu, walimuongelea sana watangazaji, wakasema ni naibu waziri wa mashauri ya nje wa RwandaSasa hata picha la huyo jamaa wa kuogofya hujatuwekea.
Tutaamini vipi kwamba anaogofya