Hapa umetuingiza mjini. Hajawahi kuwa CDF wa DRC. Huko DRC alikuwa ni kiongozi wa M23.Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Na Kagame anamuamini sana huyu jamaa kwasabb ndiye waliyesaidiana naye kudungua ndege iliyowaua marais 2; yule wa Burundi na WA Rwanda halafu Kagame akapata mdaraka