James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

Trust me.
Huyu jamaa siku Kikwete anaapishwa...nilikuwa na huyu mtu..sehemu inaitwa Oumurushaka...tukifuatilia kwenye luninga.
N.B.
Oumurushaka ni hapa hapa Tanzania.
Omurushaka, nadhani iko Muleba. Umenikumbusha mbali, majina Omurushaka, Nkwenda, Kaisho na Katerero enzi zile tunanunua kahawa.
 
Mpango naye kweli anaweza kuwa hatari? Yule hats Mungu akimchukua maza hatakataa kabisa kuw R kwanza atapanic nakuwaambia kamati kuu kiroho safi hataki uR
Mkuu. Siyo rahisi kihivyo. Historia ya makamu wa raisi huandikwa kwa penseli. Lakini historia ya raisi huandikwa kwa pen (kalamu ya wino). Hivyo si rahisi mtu kuukataa uraisi.
 
Ongezea nyama chief
Mwezi Desemba 2023 serikali ya Rwanda ilimteka na kumrudisha Rwanda jenerali aliyeasi na kusaka hifadhi ya kisiasa hapa nchini.

Tumekuwa tunajisifia kuwa tuna intelejebsia kali na imara lakini hayo ni manejo tu...

Wapo Wanyarwanda kadhaa nchini kwenye idara nyeti za serikali na huratibu mambo kwa faida na manufaa ya Rwanda.

Kitendo cha Rwanda kuendelea kufanya oparesheni zake za kijasusi hapa nchini ni wazi branch imeanza kustuka na kifuatacho ITV.....
 
Thanks mkuu. Special branch dohh!! Kitambo sana hii.
Sema kama ni ya kwel haya, hii ni aibu kubwa sana.
Kama tulikua tuna uwezo wa kuwapa hifadh za kisias vjongoz wakubwa wa movement za uhuru enzi zile na wakawa salama leo hii kutunza vidagaa tu tunashindwa wanatekwa mchana mchana!!!..
Hio kwakwel ni fedheha kubwa
 
Mkuu soma huu huzi hapa. Thread 'Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia' Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

20231229_150105.jpg

20231229_150101.jpg

Soma vyema utaelewa namna tulivyorudi nyuma kwa sababu kitengo wapo bize kujirundikia kinga za kutoshtakiwa pale wanapowaangamiza raia wa Tanzania kuliko kuwalinda
 
Mwezi Desemba 2023 serikali ya Rwanda ilimteka na kumrudisha Rwanda jenerali aliyeasi na kusaka hifadhi ya kisiasa hapa nchini.

Tumekuwa tunajisifia kuwa tuna intelejebsia kali na imara lakini hayo ni manejo tu...

Wapo Wanyarwanda kadhaa nchini kwenye idara nyeti za serikali na huratibu mambo kwa faida na manufaa ya Rwanda.

Kitendo cha Rwanda kuendelea kufanya oparesheni zake za kijasusi hapa nchini ni wazi branch imeanza kustuka na kifuatacho ITV.....
Hata nasi hapo Kigali tuna watu wetu mkuu au hulijui hilo?

Wajaribu tu kumwaga hata mkojo waone achilia damu.
 
Trust me.
Huyu jamaa siku Kikwete anaapishwa...nilikuwa na huyu mtu..sehemu inaitwa Oumurushaka...tukifuatilia kwenye luninga.
N.B.
Oumurushaka ni hapa hapa Tanzania.
Karagwe kayanga unapita Kamaungu unaenda huko............. asee nlikwepo aseee
 
Back
Top Bottom