James Kabarebe anaaminiwa na Kagame na anatajwa kuwa mrithi wake

Kwa msiofahamu, bwana James ndiye Kamanda aliyepata kuhudumu akiwa CDF wa Nchi mbili tofauti ambazo ni Congo na Rwanda.
Hapa umetuingiza mjini. Hajawahi kuwa CDF wa DRC. Huko DRC alikuwa ni kiongozi wa M23.

Na Kagame anamuamini sana huyu jamaa kwasabb ndiye waliyesaidiana naye kudungua ndege iliyowaua marais 2; yule wa Burundi na WA Rwanda halafu Kagame akapata mdaraka
 
Huyu c ndie aliyetumwa na Kagame wakiwa bado msituni akamuua Rwigema the great.
 
....kuwa makini na jifunze kurejelea historia ili uwe na weredi wa kubisha kwa mantiki.

Kwa taarifa yako, mosi; James Kabarebe hajawahi kuwa mkuu wa Kikosi cha Waasi wa M23 hata siku moja. Pili, James alihudumu kama CDF wa Congo DR kwa kuazimwa akitokea RDF.
 
Hapana. Congo alikuwa strategist tu. Na kuhusu kuwa kiongozi wa M23 ni vile tu analindwa na kukumbatiwa na Kagame.
Lete ushahidi. Mm wangu huu hapa:
 
Acha roho mbaya huko ni kumtafutia kifo huyo James
 

Ni kweli Kabarebe alikuwa CDF wa DRC wakati Kabila mdogo ni Rais
 
Kagame bado ana afya njema kabisa wala hana wazo la kuondoka hapo.

Kama Museven hafikirii kuachia Madaraka na uzee ule ndio sembuse Kagame ambaye Kwa muonekano Tu unamuona yuko fit?
Swali la msingi,katisheka? maana tamaa ya viongozi wa Africa inaeleweka
 
Sio kweli. Hakuwa CDF wa Congo DR. Leta literature kuthibitisha madai yako.
 
Hamna kitu kwa james.....kilichomkuta DRC anakijua....DRC NA RWANDA HAKUNA MAJESHI BALI MAKUNDI YA WAHUNI WALIOVAA SARE ZA KIJESHI.....SABABU M23 NI HAO HAO WANAJESHI WA RWANDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…