mpima mstaafu
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 131
- 238
Wala hana Kesi, Mapokezi yake yanafanywa na Mkuu wa MkoaKati ya viongoz wa upinzani ambao hawajasumbuliwa sana wakat wa utawala huu ni huyu,jera hajaichungulia sana..
Kwa Mbowe mtasubiri sana. Hizi siasa za KIMALAYA ni aibu kubwa sana kwa nchi yetu. Historia utamkumbuka Magufuli kwa siasa za uwoga, ushamba na UNAFIKI kiasi hiki. Kwa Uchafu aina hiyo, Kikwete anaonekana ni malaikaHawezi kufanya umalaya huo kwani hana bei? Mbona alinunulika kwa kumuachia geto lowasa
Kama alivyomrithi jimbo la Vunjo
TISS wazee wa system na mwenzake kabwe, wapo huku upande wa pili kwa kazi maalumHivi ilikuwaje mpaka JK akamteuwa kuwa mbunge wa viti maalum.
Jamaa ana historia ndefu. CCM waliwahi kumtumia kule Pemba nadhani enzi za Mkapa, wakapata wabunge kadhaa. Lugha anayoongea sasa ni tofauti kabisa na ile ya 2015 enzi za UKAWA. Kitendo cha kupokelewa na mkuu wa mkoa maana yake huyu sasa siyo mpinzani tena kadiri ya Kamusi ya Magufuli.Hivi ilikuwaje mpaka JK akamteuwa kuwa mbunge wa viti maalum.
Hivi nyie watu mnajua siasa? Siku zote makuwadi hudharauliwa na wananchi. Angalia CUF ya Lipumba anayesaidiwa na jeshi la polisi, angalia Magazeti ya Musiba, mie sijawahi ona mtu kanunua. Magufuli mwenyewe anajua kwamba WATANZANIA SIO WAJINGA.
Kwani hujui viti maalum vinawahusu watu gani?Hivi ilikuwaje mpaka JK akamteuwa kuwa mbunge wa viti maalum.
Ana uhakika wa kupata ubunge wa viti maalum NovemberJamaa ana historia ndefu. CCM waliwahi kumtumia kule Pemba nadhani enzi za Mkapa, wakapata wabunge kadhaa. Lugha anayoongea sasa ni tofauti kabisa na ile ya 2015 enzi za UKAWA. Kitendo cha kupokelewa na mkuu wa mkoa maana yake huyu sasa siyo mpinzani tena kadiri ya Kamusi ya Magufuli. Mbatia rasmi sasa kawekewa VIRUSI vya KORONA. Hafai.
La kushangaza ni kwamba inajulikana kabisa kuwa anayebeba na serikali, wananchi watakataa. Lakini bado akina mbatia wamo tu. Au anatafuta kiinua mgongo astaafu siasa?
Huyo ni mbunge wa ikulu, mbunge wa kuteuliwa, ni pandikizi lilowekwa na kikwete
Aiseee,kumbe tatizo ni CHADEMA tu!
Atawekwaje jera wakati ni mwenzao?Kati ya viongoz wa upinzani ambao hawajasumbuliwa sana wakat wa utawala huu ni huyu,jera hajaichungulia sana..
Hii inaitwa viburi watakula jeuri yao. Ni wakati sasa Mbowe aende ikulu kupiga magoti ili walau aachiwe majimbo hata matano uchaguzi huu. Lakini hii inakera sana why double standards?