James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

Mbatia huyu huyu au mwingine.

Ukute hajawahi tumia hizo rules zake za udom, ngoja tuone
 
Ni case nzuri Sana ambayo inaweza kuisaidia Nchi kwa kuweka Misngi mizuri kwa Jambo Kama hili la Ndungai haswa kwa wakati ujao. Lakini kwa Mahakama hizii, sijui. Tena itapigwa chini kwa vitechnical grounds vya kutafuta kwa tochi.
Hii itapigwa kibuti mapema sana
 
Ndiyo maana nangangania Tanzania hatuna Mahakama huru!!!
 
Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
1. Katiba imetoa maelekezo Spika akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?. Hili halijufanyika!. Why?. Mahakama itajibu...
Pascal, hapo mahakama itakuwa inaombwa kitu gani? Kubatilisha mchakato ili uanze upya, au?
 
Wewe Ni Lumpen, haya ya Sheria huyawezi
 
Mwenyekiti wa chama cha Upinzania cha NCCR Mageuzi James Mbatia amefungua kesi ya kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge...
Wapinzani wetu huwa hawahangaiki/hawakomai na hoja zinazowakera watanzania, wao ni kutafuta kiki tu zisizo na maana, kwa hiyo anataka kuzuia bunge lisiendelee na kazi , maana bila kupatikana spika shughuli za bunge hazitaendelea, kwa hiyo anapinga wawakilishi wa wananchi wasiendelee na kazi, ridiculous.
 
Hivi nikiuliza swali hili, hivi Nchi hii ni ya nani? Mkisema ya watz wote, si sawa, wanasiasa, hapana, wakulima na wafanyakazi, haipo, polisi, sijui, jwtz, si kweli, tiss? Sijajua, maana watu hata wakiwa na mamlaka na madaraka, hawajihamini kabisa, kwa kauli na vitendo. Sasa mdume kama Ndugai kwanini alilikoroga akashindwa kulinywa?
 
QUOTE="Stuxnet, post: 41468310, member: 37228"]
Ukisikia mwanaume anaingiliwa na wanaume wenzie usitarajie atakuwa na akili nzuri. Msimchukulie Mbatia James seious
[/QUOTE]


Heeee😳😳😳😳😳
 

Uoza kwa uoza , Bunge la Magufuli unaita Bunge la wananchi, kazi ipo? Au Halima Mdee anakuwakilisha?
 
Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
1. Katiba imetoa maelekezo Spika akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?. Hili halijufanyika!. Why?. Mahakama itajibu...

Pascal barua ya Ndugai imeandikwa kwa capital letters. Lile ni tangazo la kujiuzulu Kama tangazo la biashara. 😝😝

Ndiyo wana Mapinduzi wanavyowacha madaraka. Katiba Na kanuni kasomeni majumbani kwenu huku mnakula ugali
 
Tafadhali Mwenyekiti Mbatia, ni hivi Ndugai nakuheshimu sheria wala katiba wakati akiwa spika. Kwa nini tumlazimishe afuate Sheria sasa ikikumbukwa kuwa wakati wa utawala wake hakuzifuata hizo sheria??
 
Mrithi wa mtikila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…