Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ndio huyu huyuMbatia huyu huyu au mwingine.
Ukute hajawahi tumia hizo rules zake za udom, ngoja tuone
Hii itapigwa kibuti mapema sanaNi case nzuri Sana ambayo inaweza kuisaidia Nchi kwa kuweka Misngi mizuri kwa Jambo Kama hili la Ndungai haswa kwa wakati ujao. Lakini kwa Mahakama hizii, sijui. Tena itapigwa chini kwa vitechnical grounds vya kutafuta kwa tochi.
Ndiyo maana nangangania Tanzania hatuna Mahakama huru!!!Ndugu,
Wakati wa kesi ya Lissu kuvuliwa ubunge walituthibitishia kuwa kwenye mambo ya msingi, mahakama yetu haiko tayari kugombana na Bunge. Mbunge wa kumrithi Lissu alipokelewa na kuapishwa Bungeni wakati kesi ya kupinga bado iko mahakamani.
Mbatia aendelee na kesi kwa madhumuni ya kuuanika tena muhimili huo uliyokosa aibu. Labda waTz wataanza kufumbuka macho. Amen
Mbatia na Udom?Mbatia huyu huyu au mwingine.
Ukute hajawahi tumia hizo rules zake za udom, ngoja tuone
Haya wewe umepanda nyuma ongea sasa hamzaMbatia na Udom?
Acha kudandia treni kwambele Manka
Pascal, hapo mahakama itakuwa inaombwa kitu gani? Kubatilisha mchakato ili uanze upya, au?Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
1. Katiba imetoa maelekezo Spika akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?. Hili halijufanyika!. Why?. Mahakama itajibu...
Labda kama Bunge halipo kwa mujibu wa Katiba!Mahakama haiwezi kuliingilia bunge hata Tundu Lisu anajua hilo.
Wewe unazo?Anazo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe Ni Lumpen, haya ya Sheria huyaweziSijui ni umbumbumbu wangu wa sheria!!? Naona kama kesi ya Mbatia imekosa mashiko na Mbatia anakosa uhalali wa kuifungua.
Hapa ni sawa na mke/mume aamue kumuacha mume/mke wake halafu jirani akapinge mchakato wa kuachana.
Au mfanyakazi aamue kuacha kazi na mwajiri wake akaridhia, halafu anatokea kidudu mtu apinge mchakato.
Pascal Mayalla na Petro E. Mselewa
naombeni msaada ktk hili.
Acha matusi, acha matusi. Hujajenga hoja.Ukisikia mwanaume anaingiliwa na wanaume wenzie usitarajie atakuwa na akili nzuri. Msimchukulie Mbatia James seious
Wapinzani wetu huwa hawahangaiki/hawakomai na hoja zinazowakera watanzania, wao ni kutafuta kiki tu zisizo na maana, kwa hiyo anataka kuzuia bunge lisiendelee na kazi , maana bila kupatikana spika shughuli za bunge hazitaendelea, kwa hiyo anapinga wawakilishi wa wananchi wasiendelee na kazi, ridiculous.Mwenyekiti wa chama cha Upinzania cha NCCR Mageuzi James Mbatia amefungua kesi ya kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge...
Wapinzani wetu huwa hawahangaiki/hawakomai na hoja zinazowakera watanzania, wao ni kutafuta kiki tu zisizo na maana, kwa hiyo anataka kuzuia bunge lisiendelee na kazi , maana bila kupatikana spika shughuli za bunge hazitaendelea, kwa hiyo anapinga wawakilishi wa wananchi wasiendelee na kazi, ridiculous.
Mkuu Sexless , japo sijabahatika kuiona charge sheet, lakini Mbatia has a point.
1. Katiba imetoa maelekezo Spika akijiuzulu barua anapeleka kwa nani?. Hili halijufanyika!. Why?. Mahakama itajibu...
Huyo ni wakumdharau achananae ni boyaAcha matusi, acha matusi. Hujajenga hoja.
Mrithi wa mtikilaMwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko