Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae ni fala tuu,Anna Makinda alikuwa Naibu spika na akawa spika tatizo Nini?Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko
Sio kweli, Anne Makinda alikuwa naibu spika wa nani? kumbuka Anne amekuwa spika baada ya ccm kumtosa Samwel Sitta, na samwel Sitta akawa waziri wa africa mashariki.Huyu nae ni fala tuu,Anna Makinda alikuwa Naibu spika na akawa spika tatizo Nini?
Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko
Na km huamini subiri atakapostaafu, utasikia kachukua form ya kugombea ubunge jimbo la ......mashariki kupitia CCMJaji tena ana Kadi ya Chama ......!!
Hahahaaa. Nimecheka sana😆Mahakama haiwezi kuliingilia bunge hata Tundu Lisu anajua hilo.
Kwani barua zinatoka mbinguni kwenu mkuu, si watapeleka kilelezo cga barua ya kujiuzulu kwa mujibu wa matakwa ya kisheria then kesi itakuwa imeisha kwa aibu.Hamna kesi hapo!! Ndugai ataambiwa na mahakama kama anataka kujiuzulu basi afuate utaratibu wa kikatiba. Hadi sasa ataambiwa hajajiuzulu!!! Kumbuka ataungwa mkono na kambi 69 za wagombea uspika wa ccm waliofanyiwa figisu!!! Usicheze na kitu Ndugai!
Mahakama... ipi hiyo inayoweza kutengua uteuzi wa spika....Sometimes ni Vema kupinga hata kama unajua kwamba hautashinda.... Just to make the Record Straight na kuonyesha msimamo wako...
Kwa hili namuelewa...,
Kama ni kutafuta ujiko okMwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko
Issue sio Kushinda (Hawezi Kushinda hii Kesi) Issue ni to make a Statement on Record kwamba kilichofanyika hakikubalikiMahakama... ipi hiyo unayoweza kutengua uteuzi wa spika....
Anyway tuangalie mwisho wake itakavyo kuwa....
hana akili ya kuelewa hiloIssue sio Kushinda (Hawezi Kushinda hii Kesi) Issue ni to make a Statement on Record kwamba kilichofanyika hakikubaliki
Zipo za kadiri yakeAnazo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]