James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.

Pia soma

Huyu nae ni fala tuu,Anna Makinda alikuwa Naibu spika na akawa spika tatizo Nini?
 
Lodging a constitutional case before a kangaroo court manned by the ruling party sycophants masquerading as the judges. Let us wait and see its aftermath.
 
Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.

Pia soma

Hii angekuwepo The late Christopher Mtikila,Rev.
 
Ni upuuzi mtu kuamini kuwa mbatia anaweza kupata haki yake kwani mahakama zetu haziko huru kwa kuwa kuna mhimili umejichimbia zaidi hii ilikuwa quotes ya jpm
 
Wangekuwa wanafanya hivi kutetea wakulima wa kahawa huko kwao wapate bei nzuri wangeonekana watu wa maana. Wapinzani ni🚮🚮🚮
 
Hamna kesi hapo!! Ndugai ataambiwa na mahakama kama anataka kujiuzulu basi afuate utaratibu wa kikatiba. Hadi sasa ataambiwa hajajiuzulu!!! Kumbuka ataungwa mkono na kambi 69 za wagombea uspika wa ccm waliofanyiwa figisu!!! Usicheze na kitu Ndugai!
Kwani barua zinatoka mbinguni kwenu mkuu, si watapeleka kilelezo cga barua ya kujiuzulu kwa mujibu wa matakwa ya kisheria then kesi itakuwa imeisha kwa aibu.
 
Sometimes ni Vema kupinga hata kama unajua kwamba hautashinda.... Just to make the Record Straight na kuonyesha msimamo wako...

Kwa hili namuelewa...,
Mahakama... ipi hiyo inayoweza kutengua uteuzi wa spika....
Anyway tuangalie mwisho wake itakavyo kuwa....
 
Mbatia chama chako kimekufa, kwann usitumie mudaa huu kutafuta wanachama unahangaika nini?

Kumbe we Mbatia wa hovyo hivi?
 
Mwenyekiti wa Chama NCCR Mageuzi ndugu Mhandisi James Mbatia atinga Mahakama Kuu Dar Es Salaam leo kwa ajili ya Kufungua kesi ya Kupinga Mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Uspika wa Bunge.

Pia soma

Kama ni kutafuta ujiko ok

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa chama cha Upinzania cha NCCR Mageuzi James Mbatia amefungua kesi ya kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge.

Hayo yanajiri wakati tayari kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM ikiwa imemtangaza Dokta Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika, na chama cha ADC kikimtaja Maimuna Said kuwa mgombea wake, baada ya kiti cha spika kuachwa wazi na Job Ndugai aliyejiuzulu Januari sita mwaka huu.
 
Back
Top Bottom