James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Ombwe la uongozi ni kubwa, hakuna anae msikiliza Samia ilikuwa ni suala la muda tu kabla hamjaanza kujionea mauza uza, hatuna serious kiongozi, lakini pia tusimlaumu sana ni average president anaefanya vitu vya kawaida.
 
Ombwe la uongozi ni kubwa, hakuna anae msikiliza Samia ilikuwa ni suala la muda tu kabla hamjaanza kujionea mauza uza, hatuna serious kiongozi, lakini pia tusimlaumu sana ni average president anaefanya vitu vya kawaida.
Taja mfano wa ambacho kaagiza hajasikilizwa..

Mlizoea maisha ya bullying ya miaka 6 iliyopita kwa hiyo Hali hiyo hamuioni ndio maana unaongea mambo ya kufikirika
 
Mbatia ana bonge la hekalu hapa mbezi beach, anaishi vizuri sana kwa siasa zake za kuifanya nchi ionekane inao uwazi na demokrasia.

Huyu ukimuiga unaumia wakati yeye mfumo unamuokoa. Ni tajiri mmoja ambaye anakubalika mbele ya jamii. anajua kuishi na mfumo.
 
Ukimwambia mwananchi mkataba kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo hawezi kuelewa na Hana muda wa kufuatilia. bila wananchi kuguswa na ishu km bei za bidhaa kupanda kuelewa unafiki wa viongozi n ngumu sana.
 
Hii code ya tumbili nmeshindwa ku unlock

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi hii mambo ya utawala yana cost kuliko budget ya maendeleo ya yet wanasiasa wanataka mikoa na wilaya ziongezwe naunga mkono hoja mikoa na wilaya zipunguzwe na serikali iongeze budget ya maendeleo
Waanze na bunge la mazuzu..idadi yao ipunguze..na mishahara yao ipunguzwe..magari ya serikali na chama v8 zisitumike tutumie rand lover.

Kuna haja gani kulipa ma bilioni ya walipa kodi kwa vilaza na mazuzu..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hangaya anaona hakuna tatizo lolote, is a clueless leader....to say the least.
 
Ha ha shida ya msenge ni kutokunwa,mbatia hajakunwa longi basha wake kazikwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ubaya ni kwamba mama ... bado hajajua majukumu aliyonayo effectively as President.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…