#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
17 July 2021



Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.

Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.

Source: MwanaHALISI TV

We are monitoring multiple variants; currently there are four notable variants in the United States:

B.1.1.7 (Alpha): This variant was first detected in the United States in December 2020. It was initially detected in the United Kingdom.

B.1.351 (Beta): This variant was first detected in the United States at the end of January 2021. It was initially detected in South Africa in December 2020.

P.1 (Gamma): This variant was first detected in the United States in January 2021. P.1 was initially identified in travelers from Brazil, who were tested during routine screening at an airport in Japan, in early January.

B.1.617.2 (Delta): This variant was first detected in the United States in March 2021. It was initially identified in India in December 2020.

These variants seem to spread more easily and quickly than other variants, which may lead to more cases of COVID-19. An increase in the number of cases will put more strain on healthcare resources, lead to more hospitalizations, and potentially more deaths READ MORE : Variants of the virus updated 28 June 2021 Coronavirus Disease 2019 (COVID-19)
On Friday 26 February 2021, a shipment of COVAX COVID-19 vaccines arrive at the airport in Abidjan, Cote d’Ivoire.

The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.

We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.

How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.

When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.

Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.

In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.

These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines
 
Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watanzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona.

Wakati Corona inasumbua mataifa mengine, utashangaa wapo watakaoibuka kuipinga hii kauli ya Mbatia, ataambiwa anatafuta sifa za kisiasa, utadhani Tanzania haipo kwenye ramani ya dunia, wakati hata madaktari wakiongea kuhusu Corona, nao wanawapinga, sasa sijui wao wanataka nani wengine waongee kuhusu Corona, bado kama taifa tunazunguka mbuyu tu.
 
Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watamzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona...
Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
 
Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watamzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona.

Wakati Corona inasumbua mataifa mengine, utashangaa wapo watakaoibuka kuipinga hii kauli ya Mbatia, ataambiwa anatafuta sifa za kisiasa, utadhani Tanzania haipo kwenye ramani ya dunia, wakati hata madaktari wakiongea kuhusu Corona, nao wanawapinga, sasa sijui wao wanataka nani wengine waongee kuhusu Corona, bado kama taifa tunazunguka mbuyu tu.
Huyu amepata chanjo zote....! Tuamue bila mihemko, Tutashinda.
 
Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watamzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona...
Chama Cha Mazezeta ndio Chanzo Cha Matatizo
 
Sikushangai, ni kawaida alie lala usingizi wa pono akiamshwa lazima atakasirika hata kama amelala saa 6 mchana.

Sikushangai, ni kawaida alie lala usingizi wa pono akiamshwa lazima atakasirika hata kama amelala saa 6 mchana.
Hata hao mabeberu wenu unadhani wataweza kuwatunza wanaufipa wote?? Hiyo sàhauni kabisaa. Tulijenge taifa letu acheni nongwa.
 
huyu kibaraka wa utawala anatafuta uteuzi
Kwann?

kwani si mwenyekiti wa NCCR Mageuzi?

ila kwa upande mmoja Mbatia ana afadhali kidogo juu ya uzalendo wake kwa Mama Tanzania ukilinganisha na wengine ambao mara zote wao ni kutishia kuvuruga amani kwa maandamano n.k.
 
Angekuwepo JPM haya mambo tusinge yasikia..

View attachment 1857756
hii nchi ilidekezwa kitambo, JPM hakutudekeza, alikaza mwanzo mwisho, walio mwelewa walijua lengo lake ni nn, lkn pia vyombo vyote vilimtiii kwa pamoja na kila taasisi iliunga mkono juhudi/jitihada alizo kuwa anazifanya.

hili ni Jaribio kwa awamu hii ya 6 endapo itakubali kuyumbishwa basi kitakacho fuata ni maneno ya kejeli dhidi ya serikali, ni bora wakaze uzi, anaye taka atatumia huduma hutaki tumia benki.

hatutakiwi kubembelezana ktk suala la kujenga Nchi.
 
Huyu amepata chanjo zote....! Tuamue bila mihemko, Tutashinda.

Si kuwa:

IMG_20210718_063653_881.jpg


Mnatuona je lakini?


Acheni kutucheza shere basi?
 
Back
Top Bottom