nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Mungu akakubali hoja za mbatia na Corona hiyo ikaanze na yeye,
Aaamiiin.
Aaamiiin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
17 July 2021
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania
Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.
Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku , vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja . Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.
Source : MwanaHALISI TV
![]()
The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.
We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.
How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.
When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.
Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.
In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns. These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health
Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines
Mapadri na Mashehe wanawahubiri wafuasi wao waache zinaa maana zinaa inaua kimwili na kiroho, kwa hiyo nao wanawatakia mabaya waumini wao. Akili za wana CCM sijui ziko kiungo gani?!?Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
Mojawapo wa hao ni jitu kama hili.Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
Basi jiwe anapendwa sanaChanzo ni jiwe, Aliwa brain wash watz mpaka sasa hawaamini tena chanjo.
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Huyu Mwanasiasa uchwara Mbatia ,leo amekuwa Mtabibu pia.Lakini awamu ya 5 inasingiziwa sana. Kama CIVID Imesambaa tangu awamu ya 5 kwanini mlipuko wa ugonjwa ambao hauwezi kuuzuia USITOKEE? Tangu 2019/2020 virus wako kwenye Inculubation period hapa Tz? Ujinga mwingi tu
Wewe umeshachanjwa?Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watamzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona.
Wakati Corona inasumbua mataifa mengine, utashangaa wapo watakaoibuka kuipinga hii kauli ya Mbatia, ataambiwa anatafuta sifa za kisiasa, utadhani Tanzania haipo kwenye ramani ya dunia, wakati hata madaktari wakiongea kuhusu Corona, nao wanawapinga, sasa sijui wao wanataka nani wengine waongee kuhusu Corona, bado kama taifa tunazunguka mbuyu tu.
Tumia hata hiyo akili kiduchu uliyobakishiwa kwenye hilo fuvu lako,toka lini Mbatia akawa mwana ufipa?Wanaufipa kila siku kucha kutwa nikulitakia mabaya taifa lenu, hivi kwa nini jamaniii? Sawaa watu watakufa sijui nyie mtafaidi nini.
Anakaangwa huko
Hayo maneno yako, nawe sio Mungu ni mwadamu. Bado hujui hatma yakoAnakaangwa huko
Hizo ngojera za corona.. zisingekuwepo. Sasa hivi ni mwendo wa kutiana hofu na kutisha.. Mke wa zamani wa Bill Gates ( Melinda ) alipata kusema africa tungekufa vibaya sanaa.. matokeo yake ikawa kinyume, wao ndio wakafa sanaKwa nguvu za hoja au hoja za nguvu tu?Au kama beberu asemavyo - rudimentary?
Mkuu labda nikwambie kwamba hata hao madaktari na wataalamu si kwamba wote wana mitazamo sawa kwenye hili la Corona, hata wao hutofautiana hivyo ni muhimu kuzingatia hilo.Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watamzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona.
Wakati Corona inasumbua mataifa mengine, utashangaa wapo watakaoibuka kuipinga hii kauli ya Mbatia, ataambiwa anatafuta sifa za kisiasa, utadhani Tanzania haipo kwenye ramani ya dunia, wakati hata madaktari wakiongea kuhusu Corona, nao wanawapinga, sasa sijui wao wanataka nani wengine waongee kuhusu Corona, bado kama taifa tunazunguka mbuyu tu.
Hizo ngojera za corona.. zisingekuwepo. Sasa hivi ni mwendo wa kutiana hofu na kutisha.. Mke wa zamani wa Bill Gates ( Melinda ) alipata kusema africa tungekufa vibaya sanaa.. matokeo yake ikawa kinyume, wao ndio wakafa sana