#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

sisi siyo tawi la Rwanda tuna akili na vipaumbele vyetu.tuanzie wapi tuishie wapi...

Haiwezekani tupate chanjo hapa tukachanje hovyo hovyo km wenda wazimu kijiji cha Maruku huko krb na uganda.
Tuna vipaumbele vyetu sisi km wabongo tuanzie wapi tuishie wapi!! Umri gani wapate kwanza.idara gani nyeti weee vepe babu??km hujui uliza..
Nimekuuliza swali kwamba hizo chanjo zingekuja tungekuwa tumeshachomwa wote? nimetaja Rwanda kwa sababu pamoja na udogo wake ila bado hajafanikiwa kuchoma watu wengi na ndio maana bado anaendelea kufunga mashule.
 
Bas iko huko tuu huku kwetu Tz haipo😂😂

😂😂😂 Chatto kuna Rais, na Mtambwe kuna Makamu wa rais. Span mwezi mmoja.

Wacha maskhara njomba 😂😂😂.

Wasasa serikalini achana nao si wenzako labda tu kama ni mmoja wao:

IMG_20210718_061417_243.jpg
 
MB

Mbona athali za ukimwi tunaziona kwenye familiar zetu,mfn me mwenyeji wa Kagera ukienda kijijini utaona makaburi na mayatima waliofiwa na wazazi wao,na atuoni serikali ikitoa takwimu kila siku na athali za ukimwi ni kubwa mno.Sasa hiyo corona mbona hatujaona watu wakidondoka kama ilivokuwa ikitabiriwa na WHO?huku mtaani ndio kabisa watu hawana habari na corona.
Asa wewe huko Mikindani kwenu nani anafika huko?? Kwanza mnaenda wapi? Mfu Aende fanya ni kwanza huko??

Kuna mikoa hot cake vinara hatari wa uchumi bila hao si tanzania...km

Arusha.-lango kuu KIA

Mara. -utalii . Ni mpakani.na nchi tajiri kenya
Bongo landa...lango kuu Jnia.wanoko wa nchi wapo hapa.

Mwanza...lango kuu...kenya kitovu cha biashara.

Kidooogo Mbeya..mpakani na nchi zenye uwezo.

Bukoba kidooogo hawa ni watoto wa number 2 wafikiriwe sababu wanapenda kufanya kazi za vibarua Mara.bila kuchoka.

Hao ndiyo lengo letu km taifa! Yaani lango muhimu la Dunia liko mikoa hiii!! Border zao ziko vizuri ni zaidi ya majiji Suala la chanjo kwanza linawafaa wao!! kwanza na ndiko wanakufa pia
 
Nimekuuliza swali kwamba hizo chanjo zingekuja tungekuwa tumeshachomwa wote? nimetaja Rwanda kwa sababu pamoja na udogo wake ila bado hajafanikiwa kuchoma watu wengi na ndio maana bado anaendelea kufunga mashule.
wachanjaji wao ni wavivu. Hawana skills
 
😂😂😂 Chatto kuna Rais, na Mtambwe kuna Makamu wa rais. Span mwezi mmoja.

Wacha maskhara njomba 😂😂😂.

Wasasa serikalini achana nao si wenzako labda tu kama ni mmoja wao:

View attachment 1858042
Kumbe nilikuw sijui maana naona huku kwetu kila sku tunabambiana kwny daradara na sna hata mafua na sijasikia msiba kwa majiran🤔🤔
 
Kumbe nilikuw sijui maana naona huku kwetu kila sku tunabambiana kwny daradara na sna hata mafua na sijasikia msiba kwa majiran🤔🤔

Si mbaya kutambua huu ugonjwa waathiri zaidi mijini si huko minziro, Nshamba au Nyaishozi

Jikoni kwenyewe sasa ni kama hivi:

Usiwatukane mamba njomba.
 
Huyu amepata chanjo zote....! Tuamue bila mihemko, Tutashinda.
Hapo ndo nashindwa kuelewa maana ya Chanjo

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Hapo ndo nashindwa kuelewa maana ya Chanjo

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app

Maana ya chanjo iko hapa:

IMG_20210718_061417_243.jpg

Unapokuwa umechanjwa hata ukiambukizwa hali inakuwa mno. Hata uwezekano wa kuhitaji huduma za hospitali waweza kuwa bill:

Back
Top Bottom