#COVID19 James Mbatia: Ndani ya wiki mbili zijazo Corona itatupiga sana Tanzania

Tanzania kweli ni nchi ya kipekee sana kwa ujinga, wakati wapo waliotayari kupata chanjo ila serikali imewaambia wasubiri mpaka december, kama vile na Corona nayo itawasubiri, halafu wako wale wengine wasio na habari ya chanjo kabisa, hapo utaona watanzania wote tupo kwenye hatari ya kuugua Corona.

Wakati Corona inasumbua mataifa mengine, utashangaa wapo watakaoibuka kuipinga hii kauli ya Mbatia, ataambiwa anatafuta sifa za kisiasa, utadhani Tanzania haipo kwenye ramani ya dunia, wakati hata madaktari wakiongea kuhusu Corona, nao wanawapinga, sasa sijui wao wanataka nani wengine waongee kuhusu Corona, bado kama taifa tunazunguka mbuyu tu.
Nadhani inategemea na up[atikanaji wa chanjo yenyewe, siyo kuwa chanjo ipo ya kukidhi watu watote, bali inapatikana kwa awamu. Mimi binafsi nilisubiuri karibu miezi mitatu kufikia kupata chanjo yangu ya kwa kwanza (pfizer) baada ya kuanza kutolewa kwa watu wengine.
 
17 July 2021

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.

Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.

Source: MwanaHALISI TV

On Friday 26 February 2021, a shipment of COVAX COVID-19 vaccines arrive at the airport in Abidjan, Cote d’Ivoire.

The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.

We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.

How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.

When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.

Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.

In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.

These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines

Naona viongozi wa upinzani wamenunuliwa kuwa mawakala wa mabeberu kwa malipo ya aibu, ili kuleta hofu kwa watanzania ili mlango wa biashara ya corona ufunguke Tanzania na mabeberu wapige pesa ndefu!! Bila aibu Mbatia anataka tusimamishe miradi yote ya maendeleo na pesa zote zielekezwe kwenye kupiga vita ugonjwa hewa wa covid 19! Anatutisha kuwa baada ya wiki mbili tutakuwa na hali mbaya ya corona!, akome kabisa! Inaelekea anafahamu kuwa mabeberu wametupandikizia sasa corona na wanatazamia baada ya wiki mbili itakuwa imeenea!! Akome! Mbatia ni nani nchi hii hata azungumzie mambo yaliyo nje ya himaya yake? Akome!
Nataka nimwambie Mbatia kuwa wiki mbili zitapita bila hatari yoyote!! Kama corona itakuja, basi itakuja kwa Mbatia na familia yake maana ameamua kuiabudu! Watanzania kwa umoja wetu tulimwomba Mungu na akatuponya na corona hapo 2020. Maombi hayo yanafanya kazi hadi sasa kwa wote wanaomwamini Mungu. Acha wiki mbili, itapita miezi miwili, na itapita miaka miwili na Mbatia atashuhudia afya njema ya watanzania wakati yeye na mawakala wenzake wanateseka kwa corona!! Kuna wakala mwenzake wa mabeberu kuhusu corona wote tumemsikia akitaka chanjo ya corona iwe lazima kwa watanzania wote, naye akome! Ndiyo maana sishangai familia yake kuteswa na corona, maana ameamua kuiabudu! Halafu mtu wa hivyo naye anategemea watanzania wakipigie kura chama chake!! Nadhani chanjo aliyopata ya corona imeshaingia kwenye vinasaba vya ubongo wake na kuanza kuwaza mambo ya hovyo!! Na yeye ategemee maangamizi ya corona kwenye familia yake maana amechagua kuiabudu!! Lakini atashuhudia watanzania wakibaki salama!
Nimwambie tu Mbatia kuwa kwa Tanzania mabeberu na mawakala wao wameula wa chuya!! Biashara yao ya corona imedoda!! Hauwezi kutupandikizia hofu ya corona hata kidogo!! Mungu wetu muumba wa mbingu na nchi ametuponya na nchi yetu inalindwa kwa damu ya Yesu tofauti na mataifa mengine yote yaliyotanguliza akili ya wanadamu mbele ya Mungu aliye hai!! Matokeo yake wote tumeyaona!! Taifa linalodai kuendelea sana ndilo lililozika sana!!
 
Sasa aliye wadanganya kafa na covid ktambooo!!. Lkn Bado mnamuamini tu heeee!!

Jpm hana tofauti na kibwetere!!! Na waumini wake......wabongo bila kuwapiga vichwa kwa nguvu hawaelewi!!! Ndo style ya mkoloni aliyotumia kuwaongoza!!

Chukua chanjo bure watu wanakufa hutaki!! Basi jiponye usituambukize wenzako hutaki!!
Tukufanyeje sasa.....bakora tu zina wahusu!!
Boea nikae na wsjanja tu kieleweke.
Naomba nikufungue akili maana haujui unachokifanya! Unachofanya ni kumkufuru Mungu! Uko hai leo kwa kuwa Mungu alitukinga na janga la corona baada ya nchi yetu kuamua kumwomba Mungu ili atuponye. Kwa uponyaji huo wewe ni mzima leo. Halafu unatumia uzima huo kumkufuru Mungu kwa kuukataa uponyaji wake!! Unajilaani wewe pamoja na familia yako!! Usije ukashangaa ukijikuta unaokota makopo barabarani!! Nakushauri utubu kwa wazi na huenda Mungu akakurehemu maana yeye ni wa rehema!! Vinginevyo nakupa pole maana si kwa kufuru hiyo!! Hizo chanjo utachanjwa na hazitakuokoa!!
 
17 July 2021

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.

Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.

Source: MwanaHALISI TV

On Friday 26 February 2021, a shipment of COVAX COVID-19 vaccines arrive at the airport in Abidjan, Cote d’Ivoire.

The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.

We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.

How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.

When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.

Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.

In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.

These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COV

Aisee
 
Holy Man unatumaini mwamadamu angekuwepo mpuuzi kabisa badilisha hill jina
Acha ushamba mkuu.. kwenye maisha tuna mawazo tofauti na maono tofauti. Kwani Mbatia ni Mungu hadi kusema after two weeks corona itapiga sana ? Mbona mnakuwa wapumb.avu sana nyie watu ? Kila mtu amekuwa msemaji juu ya corona.. kipindi JPM usinge sikia huu upuuzi na watu tuliishi kwa amani
 
July 21 2021
Dar es Salaam, Tanzania

”CHANJO YA CORONA IPO TANZANIA, ANAYETAKA AKACHANJWE” - WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema chanjo ya Covid 19 tayari ipo Tanzania hivyo anayetaka kuchanjwa ruhusa kwenda kupata chanjo hiyo ili apate kinga na zimsaidie kusafiri kwenda kwenye Mataifa ambayo yanataka wanaokwenda wawe wamechanja. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo kwenye Baraza la Eid lililofanyika kwenye Msikiti wa Mtoro Mkoani Dar es salaam.
Source : millard ayo
 
1 Jul 2021
Johannesburg, South Africa

COVID-19 Pandemic | Africa CDC's response to COVID-19 Part 1

The Africa CDC is holding its weekly press briefing on the COVID-19 response in Africa. This is taking place virtually on Zoom. Africa CDC Director Dr John Nkengasong and the African Union's Special Envoy on COVID-19, Mr Strive Masiyiwa will be addressing the media. We take you there live now.

The Africa CDC says it has ramped up the procurement of COVID-19 vaccines for the continent. Africa was previously reliant on the COVAX facility for vaccine supplies. Businessman and philanthropist Strive Masiyiwa has lambasted COVAX for the delay in the delivery of the much needed vaccine doses. Masiyiwa has been tasked with the responsibility of assisting Africa to procure PPE and vaccines. At the same time, Africa CDC director Dr John Nkengasong says they're moniroting the impact of the Delta variant that is currently prevalent in some African countries.
Source : SABC News
 
17 July 2021

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.

Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.

Source: MwanaHALISI TV

On Friday 26 February 2021, a shipment of COVAX COVID-19 vaccines arrive at the airport in Abidjan, Cote d’Ivoire.

The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.

We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.

How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.

When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.

Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.

In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.

These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines

Tusitishane. Ole wake amtegemeaye mwanadamu wenzake. Katikan wimbi la kwanza walishaema watakaokota maiti barabarani lakini haikutokea
 
22 July 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021. (Picha na Ikulu)

Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Mhe. Tony Blair wakati Mhe. Blair , akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 22,2021.
(Picha na Ikulu)

1626976868238.png
 
Hivi Mbatia alipigwa na Corona? nasikia tetesi na umri ule mkubwa wote alionao hana mke wala mtoto kulikoni?
 
Hata Lipumba leo kasema mke wake yupo UNICEF iweje Mbatia tena Mchaga asiwe na mke.
 
22 July 2021

LIPUMBA APATA CHANJO YA CORONA “WATANZANIA NENDENI MKACHANJWE”

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa Corona leo Jumatano July 22,2021 katika Clinic ya Umoja wa Mataifa iliyopo kitongoji cha Masaki jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Prof. Lipumba amesema amepata nafasi hiyo kupitia kwa Mke wake Georgina Mtenga anayefanya kazi Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Watoto Duniani( UNICEF), Cox Bazaar nchini Bangladesh.

Prof. Haruna Lioumba atoa wito watu wasipuuzie kudungwa chanjo na kuelezea kwa upana makali ya virus vipya vya covid-19 delta variant ......
Source : millard ayo
 
Mbatia anatafuta kick, hayo anayoitabiria Tanzania hayataoikea kamwe.

Corona haitaipiga Tanzania kiasi hicho anachodai Mbatia.

Kwa wanaofuatilia taarifa za ugonjwa huu, nchi za ulaya na israel zimetoa orodha ya nchi hatari; kwa ugonjwa huo na Tanzania haimo katika orodha hiyo. Mfano Israel wametangaza kabisa hizi nchi na zote hizo wamechanja tayari lakini ukiingia Israel au mataifa hayo ya ulaya lazima ukae karantini na upimwe ingawa umechanja chanjo zote mbili. Lakini katika orodha ya red list hiyo Tanzania haitajwi japo hatujachanja. Maana yake hayo mataifa wanafahamu hali ya Tanzania.

Tusubiri hizo wiki mbili danganya toto ya Mbatia itaprove kuwa ni uongo.

Tuna kazi kubwa sana kama nchi kwa ujinga huu.
 
17 July 2021

Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19 na taarifa kuwa wataalamu wametoa taarifa za kiuchunguzi zenye ushahidi wa kitabibu kuwa wiki mbili zijazo Tanzania itapata changamoto kubwa ambayo nchi haijawahi kuiona toka gonjwa la corona kuikumba dunia.

Mwenyekiti wa NCCR - MAGEUZI ameitaka Serikali ya Tanzania ikubali serikali ilijikwa huko nyuma 2019 / 2020 ila haikuanguka katika kukabiliana, hivyo kujikwaa huko iwe chachu ya kuanza kunyanyuka tena kufanya kampeni kali kuelimisha umma na kutuma pesa, ruzuku, vifaa tiba na matayarisho makubwa kukabiliana na janga la UVIKO linalokuja. Serikali isimamishe miradi mingi kwa muda ili fedha nyingi zielekezwe kukabiliana na tishio lililo dhahiri la Covid -19 Delta Variant.

Source: MwanaHALISI TV

On Friday 26 February 2021, a shipment of COVAX COVID-19 vaccines arrive at the airport in Abidjan, Cote d’Ivoire.

The largest vaccine procurement and supply operation ever is underway – and UNICEF is leading it on behalf of the Global COVAX Facility.

We are working to ensure that all countries participating in the Facility (currently 190) have equitable access to 2 billion doses of the COVID-19 vaccine by the end of 2021.

How?
Through the COVAX Facility – led by Gavi, the Vaccine Alliance, WHO and CEPI – UNICEF is working with manufacturers and partners on the procurement of COVID-19 vaccine doses, as well as freight, logistics and storage. In collaboration with the PAHO Revolving Fund, we are leading the procurement and delivery for 92 low- and lower middle-income countries while also supporting procurement for more than 97 upper-middle-income and high-income nations. Together, these represent more than four-fifths of the world’s population.

When?
When a safe and effective vaccine is approved by WHO, UNICEF will begin the operation to transport vaccines from manufacturers to countries. The initial 2 billion doses are intended to protect frontline health care and social workers, as well as high risk and vulnerable people.

Why UNICEF?
As the largest single vaccine buyer in the world, UNICEF has a unique and longstanding expertise in procurement and logistics to help children in need. UNICEF procures more than 2 billion doses of vaccines annually for routine immunization and outbreak response on behalf of nearly 100 countries. We are the main procurement partner of Gavi, the Vaccine Alliance and have helped reach more than 760 million children with life-saving vaccines over the last 20 years, preventing more than 13 million deaths.

In vaccinating health workers globally, we ensure that health care workers can get back to work so that children and their mothers get the critical health care they need - vaccinations, treatment of malnutrition and other deadly diseases such as malaria and diarrhea, as well as obstetric, prenatal and post-natal care along with services for newborns.

These are critical services without which millions of children’s lives are at stake given the widespread disruptions to essential services during lockdowns. We cannot let one disease lead to outbreaks of other diseases that could reverse years of progress in child health

Source : COVAX: ensuring global equitable access to COVID-19 vaccines

Amekua Melinda gates?
 
22 July 2021

LIPUMBA APATA CHANJO YA CORONA “WATANZANIA NENDENI MKACHANJWE”

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amepata chanjo ya kwanza ya kujikinga na ugonjwa wa Corona leo Jumatano July 22,2021 katika Clinic ya Umoja wa Mataifa iliyopo kitongoji cha Masaki jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Prof. Lipumba amesema amepata nafasi hiyo kupitia kwa Mke wake Georgina Mtenga anayefanya kazi Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Watoto Duniani( UNICEF), Cox Bazaar nchini Bangladesh.

Prof. Haruna Lioumba atoa wito watu wasipuuzie kudungwa chanjo na kuelezea kwa upana makali ya virus vipya vya covid-19 delta variant ......
Source : millard ayo

Kumbe Lipumba ameoa uchaggani!
 
Back
Top Bottom