DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi sahihi.
Mbatia amesema hayo Juni 05, 2025 alipozungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam.
Amesema βNaomba chondechonde Viongozi wa nafasi yoyote tuje sasa na wenye dhamana kuu ya kuongoza hili ni Serikali inaweza ikaamua kutumia taasisi yoyote ile ikawaambia basi embu tukae tuzungumze badala ya vuta nikuvute tukiendelea na vuta nikuvute tutakuta Tanzania yetu siyo tena ile tuliyokuwa nayo.β
Video: Torch
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi sahihi.
Mbatia amesema hayo Juni 05, 2025 alipozungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam.
Amesema βNaomba chondechonde Viongozi wa nafasi yoyote tuje sasa na wenye dhamana kuu ya kuongoza hili ni Serikali inaweza ikaamua kutumia taasisi yoyote ile ikawaambia basi embu tukae tuzungumze badala ya vuta nikuvute tukiendelea na vuta nikuvute tutakuta Tanzania yetu siyo tena ile tuliyokuwa nayo.β
Video: Torch
Naona raha mimi Samia anazidi kupotezwa na watu wake mwenyewe, hadi August atakuwa hafai kabisa hata huko CCM. Hili game limechezwa kiandamizi sana mwenyewe anajua anatengenezewa njia ya ushindi kumbe anaelekezwa qiblq ya kisiasa.
Muda wa yale masalia, mazagazaga, maexpayad na malipumba kurudi kukusanya za wagemaπΌ
Na akiibuka anaweza kuaminika kwa atakachosema π
Wewe hujawahi kuzini?kaa chini uliza chuki wewe mwenyewe tunaweza kuwa jambazi ambaye hapaswi kuonekana hata mbele ya maskani ya mungumkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.
hakuna alie juu ya sheria Tanazania π
GWAJIMA KAKIUKA SHERIA GANI?mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.
hakuna alie juu ya sheria Tanazania π
HUJUI SHERIA WEWE NI MASKINI WA AKILI NA HAKUNA CHAWA HASALITIWI NA DEMU WAKE AU MKE WAKEmkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.
hakuna alie juu ya sheria Tanazania π
unazini na muumini wako na unajirikodi kabisa unavyomuambukiza ukimwi kwa ngono, huo si ukatili wa kishetani kabisa gentleman?πWewe hujawahi kuzini?kaa chini uliza chuki wewe mwenyewe tunaweza kuwa jambazi ambaye hapaswi kuonekana hata mbele ya maskani ya mungu
GWAJIMA KAKIUKA SHERIA GANI KUSEMA KAMA NI MTOTO WA RAISI KATOBOLEWA MACHOO WE NI MWANAMKE NIN??mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.
hakuna alie juu ya sheria Tanazania π
BABA AKO NA MTOTO WA RAISI YUPI UNAMUHESHIMU?unazini na muumini wako na unajirikodi kabisa unavyomuambukiza ukimwi kwa ngono, huo si ukatili wa kishetani kabisa gentleman?π
rejea barua za mamlaka kuhusu usajili wa taasisi yake ya kidini, itakusaiadia sana πGWAJIMA KAKIUKA SHERIA GANI?
INAHUSIANA NINI NAKUONGEA UKWELI UNAONDELEA NCHINII MBONA HUNA AKILI WE NI MWANAMKE?? KAMA WEWE NI MWANAMKE SEMA NIKUITE GETHO UACHE MAISHA YA UCHAWA NIKUPE AKILI UZAE WATOTO WENYE AKILIunazini na muumini wako na unajirikodi kabisa unavyomuambukiza ukimwi kwa ngono, huo si ukatili wa kishetani kabisa gentleman?π
HAHAHHA mlikuaa Hamuoni mpaka Alipohoji watu waliopotea??rejea barua za mamlaka kuhusu usajili wa taasisi yake ya kidini, itakusaiadia sana π
hakuna haja ya mihemko na kuropoka kwenye mjadala gentleman,GWAJIMA KAKIUKA SHERIA GANI KUSEMA KAMA NI MTOTO WA RAISI KATOBOLEWA MACHOO WE NI MWANAMKE NIN??
INAWEZEKANA BABA YAKO HANA MAANA KWAKO ZAIDI YA MTOTO WA RAISI
TAASISI USHENZI MIAKA YOTE SEREKALI HAIKU REGISTER HIO KANISA....KWANINI BAADA YA KUHOJI KAMA MBUNGE WA KAWE SEREKAL NDIO WAKAONA JUU YA USAJILI??rejea barua za mamlaka kuhusu usajili wa taasisi yake ya kidini, itakusaiadia sana π
BABA AKO ANAUMUHIMU KULIKO MTOTO WA RAIS?hakuna haja ya mihemko na kuropoka kwenye mjadala gentleman,
hoja ikikushinda unakaa kimya tu, huna haja kusumbua wadau wa JF kwa makasirko nonsense π