PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
HAHAHHA mlikuaa Hamuoni mpaka Alipohoji watu waliopotea??
ukipewa kibali cha kuuza maandazi halafu kinyemela ukaanza kuuza machungwa na ndimu utashughulikiwa vizuri tu kwa mujibu wa sheria 🐒
 
hakuna haja ya mihemko na kuropoka kwenye mjadala gentleman,

hoja ikikushinda unakaa kimya tu, huna haja kusumbua wadau wa JF kwa makasirko nonsense 🐒
HAHHAA UKIKOSA MAJIBU UNAONGEAGA KAMA YULE MTOTO WAKE WA KIKE
 
TAASISI USHENZI MIAKA YOTE SEREKALI HAIKU REGISTER HIO KANISA....KWANINI BAADA YA KUHOJI KAMA MBUNGE WA KAWE SEREKAL NDIO WAKAONA JUU YA USAJILI??
Relax bas gentleman,
uropokaji hauna maana yoyoyote dhidi ya maelezo ya ukweli ninayoeleza 🐒
 
ukipewa kibali cha kuuza maandazi halafu kinyemela ukaanza kuuza machungwa na ndimu utashughulikiwa vizuri tu kwa mujibu wa sheria 🐒
BABU HUJUI SHERIA KABISA.....
TAJA KESI AMBAYO ANAHUSISHWA SASA HIVI KWA AKILI SIO KAMA DEMU MALAYA
 
Relax bas gentleman,
uropokaji hauna maana yoyoyote dhidi ya maelezo ya ukweli ninayoeleza 🐒
GWAJIMA ALILALA NA MUHUMINI MWAKA GANI??
HAIJACHUKUA MIEZI 2 TOKA ATAKE SEREKAL IWAJIBIKE NA MAOVU YA NCHI NDIO LEO HII MNASEMA JE TENA??😅😅
 
mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.

hakuna alie juu ya sheria Tanazania 🐒
Tuambie Gwajima alikiuka sheria gani za nchi. Kuna wakati nahisi wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji nchini. Huwezi kutetea kitu ambacho huna maslahi nacho.
 
hilo ni swali au malalamiko gentleman hata nibabaike nalo?🐒
SURA YA SEREKALI KWAKILA MTU MWENYE UWEZO WAKUTUMIA COMMON SENSE INAONYESHA HALI YAKUWA "DESPERATE AND FEAR"

MTU YOYOTE ANANG'ANG'ANIA KUWA KIONGOZI HII NCHI ANAYOMATATIZO MAKUBWA SANA AKILINI

TOFAUTI NA YULE AMBAE WANANCHI WANAMTAKA AWE KIONGOZI WAO
 
Tuambie Gwajima alikiuka sheria gani za nchi. Kuna wakati nahisi wewe ni mmoja wa watekaji na wauaji nchini. Huwezi kutetea kitu ambacho huna maslahi nacho.
kwamfano sasa hivi,
hatafutwi lakini kajificha huku kaacha mgongo wote unaonekana.

huo si ulofa kabisa gentleman?🐒
 
hilo ni swali au malalamiko gentleman hata nibabaike nalo?🐒
HUENDA WEWE NI MWANAMKE AU SHEMALE AU LESBIAN BINAFSI NAKUONA WEWE HUNA AKILI YA MWANAUME KABISA KAMA UMEOA ACHANA NAE ANAKUSALITI TENA AMINI KAMA HAJAANZA ATAANZA HIZO SIO AKILI ZA MWANAUME KUWASHABIKI WA UPUMBAVU
 
SURA YA SEREKALI KWAKILA MTU MWENYE UWEZO WAKUTUMIA COMMON SENSE INAONYESHA HALI YAKUWA "DESPERATE AND FEAR"

MTU YOYOTE ANANG'ANG'ANIA KUWA KIONGOZI HII NCHI ANAYOMATATIZO MAKUBWA SANA AKILINI

TOFAUTI NA YULE AMBAE WANANCHI WANAMTAKA AWE KIONGOZI WAO
kwamba anaogopwa mzinifu gwajima au yule kibaka na tapeli wa siasa anaesota korokoroni?

huenda lofa ndio anaweza kuogopa vibaka wa kisiasa kama hao 🐒
 
Hujui Ingia GOOGLE AMA CHATGPT andika hayo.maneno alafu andika Translate in swahili
kumbe ndio maana unauliza vitu useless tu kwa usaidizi wa technology,

halafu ukiambiwa kesi ziendeshwe kwa mtandao unaanza kubwekabweka ng'we ng'we ng'we 🐒
 
Back
Top Bottom