PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

PreGE2025 James Mbatia: Suala la Askofu Gwajima hekima itumike, linaanza kuibua hasira zaidi na linavuka mpaka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umeulizwa swali, hata kujibu kweli huwezi? Mbona mazezeta mmejaa sana huko kijani.
yale n malalamiko binafsi gentleman sio swali.
In fact,
nadhan sote tunaona ukweli sasa kumbe mbatia alifukuzwa NCCR mageuzi kihalali kabisa japo juzi mahakama imemkingia kifua.

IQ yake ni ndogo sana šŸ’
 
Nenda kameze vidonge mkuu!!
 
Nenda kameze vidonge mkuu!!
yule wakili wa shetani mzinifu anaetetewa na mbatia, ambae huambukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi ndie humeza video vya kufubaza makali ya tatizo la upungufu wa kinga mwilini gentleman šŸ’
 
Mwanasiasa James Mbatia ametoa wito kwa Serikali na Viongozi mbalimbali kupata utulivu wa kutatua changamoto mbalimbali zilizopo nchini ili kupata majibu badala ya vuta nikuvute zinazoendelea huku akidai suala la Askofu Josephat Gwajima linapaswa kushughulikiwa kwa hekima ili kupata ufumbuzi sahihi.

Mbatia amesema hayo Juni 05, 2025 alipozungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam.

Amesema ā€œNaomba chondechonde Viongozi wa nafasi yoyote tuje sasa na wenye dhamana kuu ya kuongoza hili ni Serikali inaweza ikaamua kutumia taasisi yoyote ile ikawaambia basi embu tukae tuzungumze badala ya vuta nikuvute tukiendelea na vuta nikuvute tutakuta Tanzania yetu siyo tena ile tuliyokuwa nayo.ā€

Video: Torch
Ukiufwatilia upepo wa gwajima utaona unaungwa mkono na watanzania wengi Sana

Hili linaonyesha wazi kwamba alicho kizungumza gwajima.kina gusa watanzania wengi

Na kazi ya serikali nikutatua changamoto za Wana inchi Sasa kwanini wasifanye hivyo?

Gwajima namchukulia Kama nitaa ya raisi kwasasa hasa kipindi hiki ambacho kime jawa na uchawa

Raisi Ana PASWA kumtumia gwajima Kama msema kweli wake sio adui yake

na maanisha kwamba pale ambapo raisi ataona labda ame danganywa au amefichwa jambo Basi Ana PASWA kumtumia gwajima ili kuujua ukweli harisi
 
mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.

hakuna alie juu ya sheria Tanazania šŸ’
Amekiuka Sheria ipi?
 
Naona raha mimi Samia anazidi kupotezwa na watu wake mwenyewe, hadi August atakuwa hafai kabisa hata huko CCM. Hili game limechezwa kiandamizi sana mwenyewe anajua anatengenezewa njia ya ushindi kumbe anaelekezwa qiblq ya kisiasa.
unataka kusema kuna genge ndani ya chama na serikali yake wanamuingiza chaka ili aanguke kisiasa?
 
Mimi nawaza nafasi ushauli ya Philip mpango na Emmanuel nchimbi juu ya rais

Wao ndo humshauli ujinga huu?
 
Chura ni kiziwi hayo makelele yenu hayasikii
 
Serikali inaweza ikaamua kutumia taasisi yoyote ile ikawaambia basi embu tukae tuzungumze badala ya vuta nikuvute tukiendelea na vuta nikuvute tutakuta Tanzania yetu siyo tena ile tuliyokuwa nayo.ā€
Ni bora kabisa ya "vuta nikuvute" inapohusu uongozi laghai kama huu wa huyu mwananmke.
Huwezi kupata chochote cha maana na huyu!

Kama huamini, nenda kamuulize Freeman Mbowe!

Huyu Mbatia naye mambo yake mara nyingi huwa hayaelweki kabisa. Sijui huwa anasimamia kitu gani ndani ya taifa hili!
 
Mimi nawaza nafasi ushauli ya Philip mpango na Emmanuel nchimbi juu ya rais

Wao ndo humshauli ujinga huu
Hao ulio wataja hapo wanatia mashaka makubwa; pamoja na kwamba waliwekewa matumaini makubwa kulilinda taifa hili lisiangukie shimoni kama linavyo elekea sasa.

Hawa ni "mateka" wa genge la Samia ndani ya CCM, kama walivyo wengine wote ndani ya chama hicho.
 
Mimi nawaza nafasi ushauli ya Philip mpango na Emmanuel nchimbi juu ya rais

Wao ndo humshauli ujinga huu?
Baba paroko hawezi pewa nafasi ya kushauri na ndio maana alishaona isiwe tabu akae pembeni. Huyo mwingine alishapewa shavu la ugombea wenza, hivyo hawezi kushauri lolote zaidi ya kudumisha fikra za mwenyekiti wake
 
Huyo "Paroko" nami nilimheshimu toka zamani, na kwa uamzi wake wa kujiondoa asiwe sehemu ya unajisi wa nchi hii.

Lakini kauli zake za kuendelea kuhimiza waTanzania kwenda kupiga kura kwenye uchaguzi anaojuwa siyo wa HAKI; hali hiyo inanipa shida sana kujuwa mfumo wake wa akili unamwongoza vipi.

Kwani akinyamaza tu hadi amalize hizi siku alizolazimishwa kutumika itamukosesha kitu gani?
 
unataka kusema kuna genge ndani ya chama na serikali yake wanamuingiza chaka ili aanguke kisiasa?
Hilo mbona liko wazi anatengenezewa ajali ya kisiasa na tayari mpango mzima umeshakamilika kwani ni vile tu CCM wana woga wa kusema lakini sasa ananuka huko CCM.
 
Huyo "Paroko" nami nilimheshimu toka zamani, na kwa uamzi wake wa kujiondoa asiwe sehemu ya unajisi wa nchi hii.

Lakini kauli zake za kuendelea kuhimiza waTanzania kwenda kupiga kura kwenye uchaguzi anaojuwa siyo wa HAKI; hali hiyo inanipa shida sana kujuwa mfumo wake wa akili unamwongoza vipi.

Kwani akinyamaza tu hadi amalize hizi siku alizolazimishwa kutumika itamukosesha kitu gani?
Anaogopa kutekwa.
 
mkiuka sheria yeyote ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria, hakuna nafasi ya mazungimzo na muhalifu tena ambae ni wakili wa shetani mzinifu.

hakuna alie juu ya sheria Tanazania šŸ’
mbona Wakatoliki wametoa matamko mengi tena makali sana hawajafungiwa?
 
Kwa kunyamaza?
Asiseme lolote hadi siku anaondoka kurudi nyumbani.
Jezebel ana nongwa sana hata akikaa kimya atasema anamsusia,kunguru mwoga hukimbiza mabawa yake,huyu jezebel siyo kabisa anatamani tu kumwaga damu za Watanganyika
 
Back
Top Bottom