Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
- Thread starter
- #21
Nccr mageuzi kitashika namba mbili kwa idadi ya wabunge baada ya Ccm na Ndio kitaunda kambi ya Upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
NCCR mageuzi haitopata hata viti 3 vya ubunge. Mark my words. Kama CCM.wana imani basi wangewaachia viti vya ueakilishi wapinzani Zanzibar baada ya CUF kususia uchafuzi wa marudio ili kupata judtification ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa. CCM wana roho mbaya kumzidi shetani mwenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app