Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ateuliwe tena kwenye viti maalumu kama enzi za JK!!!!😂😂😂😊 itishine tume huru mjue kuwa hamjue au hamkujipangaMbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo
Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania
Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara
Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia no opportunist no one. Hafai
Pawpaw unganisha haya mashudu!
Labda ateuliwe tena kwenye viti maalumu kama enzi za JK!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] itishine tume huru mjue kuwa hamjue au hamkujipanga
We Jamaa kama Mbatia anakulipa au umeamua kumsaidia utamsaidia zaidi kwa kuacha kuleta hizi post ambazo hazijengi kwa kuwa-attack wapinzani wengine..., ila kama nia yako ni kumharibia then you are doing a perfect jobMbatia ameanza kupigania demokrasia Wewe ulikuwa hujazaliwa kijana
Vijana wa Mbowe mjifunze kuheshimu watu
Sent using Jamii Forums mobile app
We Jamaa kama Mbatia anakulipa au umeamua kumsaidia utamsaidia zaidi kwa kuacha kuleta hizi post ambazo hazijengi kwa kuwa-attack wapinzani wengine..., ila kama nia yako ni kumharibia then you are doing a perfect job
Ujinga, utamwambia NCCR ina wabunge wangapi kwani watakuwa wamefichwa na utawajua wewe tu ili uwaambie wengine! Unatakiwa upambane serikali iboreshe elimu ya MEMKWA!Kamanda usitoe machozi Mbatia ameanza kuwa mbunge wakati wewe hujazaliwa
Usikimbie October tukutane hapa nitakuambia Nccr ina wabunge wangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananishà neno MKUU ña vitu vya kijiñga huyu ni mdivi tuu aaMkuu una speed ya sonic.....juzi tu tarehe 14 mwezi huu........leo msg 642.....😀
Moja mimi sio mwanasiasa wala sina chama (wanasiasa wote kwangu ni different sides of the same coin)Kamanda unaumia chama cha ufipa kinachojifia kifo cha mende [emoji3]
Mbatia amewashika pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndoto za mchana kweupe, ccm kuitangaza nccr mageuzi ndo mnaimaliza kabisa.Nccr mageuzi kitashika namba mbili kwa idadi ya wabunge baada ya Ccm na Ndio kitaunda kambi ya Upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tunataka kuitwa wapinzani wote ni mashoga basi tukubali kampeni hizi za lumumba na jiwe. Nani amesema hawarudi? Hivi tumefikia kupangiwa na jiwe Nani atuwakilishe Nani arudi mjengoni na nani asirudi? Tunakataa kwa nguvu zote take ya serikali za mittaani yajirudie!!! Tutazipiga wait. Unazungumzia maji na Barbara hai?Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo
Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania
Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara
Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Nccr mageuzi ikipata wabunge wa3 ikatambike.kwa sasa watanzania hawataki maigizo.vyama vyote vinavyoigiza visahau.