Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical

Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu

Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo

Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania

Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara

Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka kushindanishwa kuuwa upinzani Hadi kuaandaa wapinzani juu ya upinzani Moto umeongezewa petrol
 
Hakuna Sehemu nimetaja European union km marafiki zetu wa asili!

Ujerumani, Uingereza na uchina hawa hawawezi kuropoka kitu kuhusu Tanzania

Hata tukikwaruzana tunapatana

USA hajawahi kuwa rafiki wetu wa asili anajipendekeza tu ili apore mali zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyinyi poreni mali zake. Acha kulia lia hapa kama mtoto yatima
 
Back
Top Bottom