Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical

Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu

Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo

Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania

Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara

Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui KUB anapatikanaje we bashite ndo maana unasema Mbatia atakuwa KUB. Atapata wapi 20% ya wabunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical

Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu

Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo

Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania

Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara

Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbatia anaakili kubwa kuliko mbowe na kundi lake sema siasa zake nisofti sana alipaswa kukaza kidogo pia haifai MTU kuwa mkaidi uzeeni huyu anakaribia miaka 60 angetafutwa/ angetengenezwa kijana wa miaka ya 40 hapo. Mbowe siyo KUB mzuri inafaa asirudi tens kwenye hichokiti
 
Mbatia ana akili sana, Mbowe uwezo wake ni mdogo sana

Mbowe harudi tena bungeni
Mbatia anaakili kubwa kuliko mbowe na kundi lake sema siasa zake nisofti sana alipaswa kukaza kidogo pia haifai MTU kuwa mkaidi uzeeni huyu anakaribia miaka 60 angetafutwa/ angetengenezwa kijana wa miaka ya 40 hapo. Mbowe siyo KUB mzuri inafaa asirudi tens kwenye hichokiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ukweli uliowazi kuwa Mbatia anakwenda kuwa KUB uchaguzi wa mwaka huu hii ni kutokana na chadema sisi chama chetu kimefubaa na kukimbiwa tumebaki hatuna mtaji wa kutosha baada ya wanaharaki njaa kutukimbia na inavyoonekana kule Zanzibar ACT wazalendo watakuwa wapinzani wakuu na sisi huku bara NCCR Mageuzi kuchukua kiti hicho

Kosa kubwa tulilolifanya sisi kama chama ni kuruhusu wanaharakati kujaa na kuonekana ndio wapigania haki tukawathamini hao na kuwaacha wanasiasa ombi langu ni mzee Mbatia usikubali hayo yatokee na kuharibu upinzani hapa nchini.kina mdude.tundu.waitara.kigogo.fatuma.msigwa.mchage.lema .Jacob .Jericho bensaa8 na watu kama hao ni kelele tu mh Mbatia usikubal hili

Nakutakia kazi njema ya kujenga upinzani bora baada ya sisi chadema kuuchezea na kukimbia mijadala bungeni

Kukumweupe

Kajifunze kwanza kuandika kisha ndio uje uharishe hapa jukwaani. Ukishajua matumizi sahihi ya nukta ndio uje uongee na wanaume.
 
Ni ukweli uliowazi kuwa Mbatia anakwenda kuwa KUB uchaguzi wa mwaka huu hii ni kutokana na chadema sisi chama chetu kimefubaa na kukimbiwa tumebaki hatuna mtaji wa kutosha baada ya wanaharaki njaa kutukimbia na inavyoonekana kule Zanzibar ACT wazalendo watakuwa wapinzani wakuu na sisi huku bara NCCR Mageuzi kuchukua kiti hicho

Kosa kubwa tulilolifanya sisi kama chama ni kuruhusu wanaharakati kujaa na kuonekana ndio wapigania haki tukawathamini hao na kuwaacha wanasiasa ombi langu ni mzee Mbatia usikubali hayo yatokee na kuharibu upinzani hapa nchini.kina mdude.tundu.waitara.kigogo.fatuma.msigwa.mchage.lema .Jacob .Jericho bensaa8 na watu kama hao ni kelele tu mh Mbatia usikubal hili

Nakutakia kazi njema ya kujenga upinzani bora baada ya sisi chadema kuuchezea na kukimbia mijadala bungeni

Kukumweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayajua ya kesho? Wewe Mungu?? Mungu akimchukua je?
 
Hakuna kilaza nchi hii kama mbowe boss wako alilamba zero sawa na mmeo

Kukumweupe

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sahihi kabisa, ila Mbowe akiandika anaweza kuweka koma na nukta. Umeanza mwezi uliopita lakini unapanick vibaya sana, utauweza huu mziki wa humu ndani, au walete polisi wakupe mbeleko kama kawaida ya ccm?
 
Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical

Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu

Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo

Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania

Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara

Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala

Sent using Jamii Forums mobile app

=============
Maoni Zaidi
Chama mboga mboga mnashida kweli
 
Back
Top Bottom