Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ok
No wonder mataifa makubwa yanawatenga sasa
Unaidhalilisha tume ya uchaguzi. Yani mmeshapanga matokea mwaka mmoja kabla.Mbatia muasisi wa Upinzani Tanzania, kijana msomi kutoka udsm ile iliyokuwa critical
Huyu kipaumbele kwake ni Tanzania, kipaumbele chake sio kuitana makamanda tu
Naweza kusema ni mpinzani wa kweli mno alifukuzwa shule ya u injinia Udsm kwa kuwatetea Watanzania Ndio maana alipongombea ubunge miaka ya 90 alishinda kwa kishindo
Ndani ya miaka kumi iliyopita tumekuwa na kiongozi wa upinzani bungeni anayetetea zaidi chama chake kuiko kutetea maslahi mapana ya Tanzania
Amekuwa mbunge kwa awamu tatu hana papara amewapigania Watanzania kwa hekima kubwa, Mbatia ukifika jimboni kwake ni kama amepeleka huduma zote za kijamii tofauti na Jimbo la Kub wa sasa ambako kuna shida ya maji na barabara
Kwa kuwa Chama cha upinzani Kilichopo hakitarudi bungeni tunakuomba Mbatia beba jahazi kuongoza Watanzania Katika mawazo mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder mataifa makubwa yanawatenga sasa