Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Nccr mageuzi kitashika namba mbili kwa idadi ya wabunge baada ya Ccm na Ndio kitaunda kambi ya Upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa
 
Mbatia hajawahi kuhama chama, kumwita hilo jina unakosa adabu

Vipi Tundu lissu aliyewahi kuhama chama unaweza kumwita hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia? Nyambafu kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nccr mageuzi ina wanachama mpaka vijijini wametulia wanawaangalia tu Chadema mlivyo na mihemuko mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kijiji chenu huko..Lakini vyama ndo hivyo vi3 nilivyokutajia.Ni mwendawazimu tu au mwenye maslahi binafsi ndio ataweza kusimama mbele ya umati na kujaribu kuaminisha unachofanya
 
MBATIA HAJAWAHI KUWA MUASISI WA UPINZANI TANZANIA.
KASOME HISTORIA, ELIMU YA URAIA NA SIASA YA TANZANIA ITAKUWEZESHA KUWAJUA NI AKINA NANI WAASISI WA UPINZANI TANZANIA
 
Sasa umekuwa speaker wa Mbatia. Jenga nyumba yako kwanza ndipo uhangaike na ya jirani yako.
 
Nccr mageuzi kitashika namba mbili kwa idadi ya wabunge baada ya Ccm na Ndio kitaunda kambi ya Upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota! NCCR hakitopata zaidi ya viti 3. Mark my words! Vyama vitakavounda kambi ya upinzani ni Chadrma ikifuatiwa na ACT. In fact kuna hatari hata hicho kiti kimoja kama NCCR watapata kama hawatashirikiana na CHADEMA. na ACT.
 
Ungejikita zaidi kwa Mbatia ningeweza kukuelewa lakini wewe issue yako hapa ni Mbowe...umesahau kuwa Mbowe hana bei lakini Mbatia wako kwa sasa ana uhuru wa kufanya mikitano na kupewa ulinzi....BIG NO...hapo hatudanganyiki tuletee mwingine tumpime.
KUB anaerubunika hatatufaa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…