Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

Mod wangekuwa na akili km zako huwenda jamii forum isingekuwepo leo

Jamii forum ni kwa Watanzania wote sio mali ya Chadema

Kama hutaki mawazo km haya kaangalie Chadema t.v.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema tv? Kwani wanayo? Maana wabunge wanalamika kukatwa mishahara yao ili kuchangia chama. Ina maana pesa zinapigwa na mtu mmoja tu.
 
Mungu ibariki JF
 
Hakika !
 
Mbatia kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni kiini macho tu japo ni mahiri katika kujenga hoja maridhawa.Hajawa na ujasiri wa kuisulubisha serikali na kamwe hataweza kuwa mpinzani wa dhati,mpinzani wa kweli anajinazibu kwa hoja na matendo yake.Mbatia anakuzwa tu
 
Yuko wapi sasahivi?
 
ila ccm sina hamu nao wame m fix hadi kibaraka wao mbatia ha ha ha ha saizi sijui atafanya biashara gani
Hahaha ukiona mtu anatumika na kundi moja anaweza pia kutumika na kundi jingine. Na huyo huyo sio salama kwa afya ya kundi lako asilani abadani😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…