Mwezi huu December serikali imekusanya trilion 2.5,, record breakingKwakweli inashangaza sana fedha za mkopo wanajengea madarasa na vyoo
Wakati tuliambiwa tozo hiyo ndio kazi yake.
Tozo inatumika katika nini???
Kwanini serikali badala ya kujikita katika kukusanya mapato inakimbilia kukopa tu??
Kwanini serikali inawaogopa wafanyabiashara mpaka wakipandisha bei kiholela ipo kimya tu??
Je ndio tuseme kwamba wafanyabiashara ndio wanaoongoza nchi kwa sasa??
Kwanini walikopa 1.3 kujenga vyoo kama pesa hiyo ilikusanywa.Mwezi huu December serikali imekusanya trilion 2.5,, record breaking
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Unaendeleza upunguani wa kuchanganua mambo anaouzungumzia Mbatia, jadili hoja zake wacha kelele zako.Mbatia ali ingizwa king na mwenda kuzimu kwamba chama chake kitakuwa chama kikuu cha upinzani akapandisha mabega. Kumbe aliingizwa choo cha kike, alicho kutana nacho kwenye uchaguzi ana jua yeye na alie mkuta huko chooni. Magu kitu ingine
Ni hivi, ile pesa ilikua itumike kuoam ana na uviko,,, sasa wao wakati wakiomba walitoa hoja kuwa huwezi kupambana na uviko bila ku create awareness,James Mbatia, Ni aibu kwa viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za 7mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye ukuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
Tozo ndo ilianza kabla ya oppotunity ya pesa za covid,,, lakini tozo haingeweza kujenga kwa haraka nationalwide,Kwanini walikopa 1.3 kujenga vyoo kama pesa hiyo ilikusanywa.
Au ni lazima tu tukope hata kama hatuhitajiki kukopa.
Hapa tutaanza kuulizana kwamba kama hela zipo halafu bado tunajilazimisha kukopa basi kutakua na watu wananufaika na hiyo mikopo inayokopwa kwa lazima.
Nashauri tusiwe tunakopa kama fedha tunazo za kutosha.
Kwa hiyo somo la Hesabu ni tatizo hata kwa Rais? Prof Ndalichako naye lugha ya Malkia ni issuePunguani mkuu namjua😁😁😁
View attachment 2066197
Hoja yako iko wapi?Mbatia siku hizi kama kachanganyikiwa tu, sijui ni uzee,, kutwa kudandia viishu visivyo na kichwa wala mguu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hakuna ulazima huo wa kutumia fedha za mikopo kwa ajili ya kujenga vyoo.Tozo ndo ilianza kabla ya oppotunity ya pesa za covid,,, lakini tozo haingeweza kujenga kwa haraka nationalwide,
So fursa ya mkopo wa covid ilipikuja,, wakatake advantage,
From day one mkopo wa covid ilikuwa uende pia kuimarisha elimu,, hata Rais alisema hilo siku anasaini
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Punguani mkuu namjua😁😁😁Kwa hiyo somo la Hesabu ni tatizo hata kwa Rais? Prof Ndalichako naye lugha ya Malkia ni issue
Ndio matatizo haya haya anayowaambia Mbatia badala ya kujadili hoja mmafanya personal attack. Sasa amshukuru Jakaya kwa lipi? Kuwa mawenyekiti wa NCCR au kuzaliwa kwake? Usinambie kwa sababu ya ubunge wa enzi zile utakua umeshindwa kujadili hoja.Yeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Mkopo wote umeishia kwenye mradi wa elimu bure.NOTED: Pesa za mkopo tena kiasi kikubwa "KUTUMBUKIZWA KWENYE MIRADI ISIYOZALISHA"
kujenga choo, madarasa, huduma za afya, walipaji ni wale wale wananchi na uwezo wao wa
awali hafifu wa kuzalisha...
Hakika Ndugai yuko sahihi sana anatutetea sisi wananchi....
umerudia kosa lile lile alilolisema mbatia kuwa watanzania wanalifanya. Badala ya kujadili hoja mnafanya personal attack kwa mtoa hojaYeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Bunge la mazuzuMwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi bwana James Mbatia akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Leo hii ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali yaliyojitokeza kwenye hotuba ya Rais na kauli ya Spika Job Ndugai
Mosi, Suala la akiba ya pesa za kigeni ameiomba serikali wabadili kauli yao ya kuwa tuna dola za marekani bilioni elfu sita yaani kimahesabu ni trilioni sita, China tu kama Taifa lenye pesa nyingi za kigeni wana dola za marekani trilioni tatu tu
Mheshimiwa Mbatia amesisitiza mahesabu ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wetu kwani hata pesa za mkopo wa uviko wanazojengea vyoo vya wanafunzi wanamshukuru Rais kwa msaada wakati hilo ni deni la Taifa, Hata Rais akiondoka kama alivyoondoka Magufuli na deni kubwa la Taifa, Deni la Taifa ameliacha kwa wananchi na serikali yao
Wananchi ndio watatakiwa kulipa madeni haya tena kwa pesa za kigeni, Hivyo James Mbatia anashangaa Rais kusema Tutaendelea kukopa bila kuangalia nani atalipa madeni haya ambayo pesa zake hazizalishi kitu, Mbatia amesisitiza ni lazima kuangalia uwezo wa wananchi kulipa madeni hayo
James Mbatia, Ni aibu kwa viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye ukuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
James Mbatia, Ni aibu viongozi wa serikali toka ngazi ya Taifa mpaka kata kila wakati kusema ahsante Rais umetoa pesa za flyover, mara barabara mara afya wakati ni pesa za watanzania na hata kama ni mkopo ni deni la watanzania. Rais yeye hana pesa za kujenga barabara au flyovers labda kama Rais anauza madawa ya kulevya
Pili, Ni upunguani umeshajijenga na tunazidi kuharibu watoto wa Taifa hili kutokana na upunguani wa viongozi wetu ambao wanashindwa kuelewa maana ya mkopo na deni la Taifa, James Mbatia amesisitiza baada ya watu kujibu hoja za Job Ndugai wao wanatafuta personal attack kwa Ndugai
James Mbatia, Anasisitiza upunguani wa viongozi ndio unapelekaea watu kushindwa kujibu hoja na kukimbilia kumtukana Job Ndugai, Tatizo la upunguani linawafanya viongozi washindwe kupima hoja kama Job Ndugai amekosea, Je usahihi ni upi amehoji bwana Mbatia
Tatu, James Mbatia amesisitiza somo la hesabu hata Bungeni ni tatizo kwa wabunge wengi sana, Ndio maana mambo yanaposomwa kuhusu hesabu wengi hawaelewi, James Mbatia amesisitiza Kuwa viongozi wanaandaliwa
Punguani mkuu namjua😁😁😁View attachment 2066231View attachment 2066232
Aaaah,mkuu hizo...Mimi siamini mpaka nione kwa macho yangu hiyo ...Ahasante Uviko!James Mbatia, Ni aibu kwa viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za 7mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye ukuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho