Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Serikali imekusanya 2.9 kwa mwezi disemba meaning fedha zipo.Bado hujaelewa,, nadhani uko mzito kidogo,, ntakuelewesha taratibu,,
Hizi pesa za uviko, zimetolewa kwa nchi nyingi tu, wengine wamenunua chanjo na vitu vingine,
Sisi specifically tuliomba na TUKAKUBALIWA kwamba hizo pesa zikatumike pia kuboresha, ELIMU NA AFYA,
Hayo aliyasema Rais mwenyewe,
So vyoo mashuleni ni mmoja ya miundombinu ya elimu,,
Watoto wetu hawawezi kusoma vizuri huku wanaenda haja vichakani,,
Umeelewa au bado? [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kuna ulazima gani wa kuchukua 1.3 ili kujenga vyoo??