kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Huu si mwezi December.Mwezi huu December serikali imekusanya trilion 2.5,, record breaking
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu si mwezi December.Mwezi huu December serikali imekusanya trilion 2.5,, record breaking
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Siasa ni agenda za kudumu pamoja na issues za kila siku.Nashauri wapinzani wakajipangia issue na mikakati yao wenyewe badala ya kudandia issue zinazoibuka. Napata picha kama hakuna concrete strategic plans za kuendesha shughuli za upinzani.
Issue ya Ndugai ni kuachiwa wana CCM wakamaliza wenyewe. Wacha wamuite kwenye kamati wammalize n.k. Sioni sababu ya wapinzani kujiweka katika saga hili.
Hoja ya Mbatia ni wazi. Kukopa pesa benki kwaajili ya kununulia pampasi ya mwanao ni ujinga na fedheha. Kopa kwaajili ya mambo ambayo unaona huna uwezo wa kuyamudu kwa pesa yako.Rejea hotuba ya SSH siku wanapokea pesa, alisema nchi nyingi ziliomba hiyo oesa ya uviko, ila Tanzania waliomba hiyo oesa itumike kuboresha elimu na Afya,, na walikubaliwa,,
So logically kuboresha vyoo na madarasa mashuleni inaitwa kuboresha elimu,
Mi sioni kosa hapo, iliekezwa tangu mwanzo kabisa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hao viongozi wana hisa zao hukoKwakweli inashangaza sana fedha za mkopo wanajengea madarasa na vyoo
Wakati tuliambiwa tozo hiyo ndio kazi yake.
Tozo inatumika katika nini???
Kwanini serikali badala ya kujikita katika kukusanya mapato inakimbilia kukopa tu??
Kwanini serikali inawaogopa wafanyabiashara mpaka wakipandisha bei kiholela ipo kimya tu??
Je ndio tuseme kwamba wafanyabiashara ndio wanaoongoza nchi kwa sasa??
Atahoji kwanin vitu vya kufanya kwa nguvu zetu za ndani tunaomba msaada kutokwa kwa wazungu ni uzuni na uvifu wa kufikili wa viongoz wetu Yan kiongoz ina vaa suti na tai una tumia Kodi unaenda kuomba mkopo wa kujenga vyoo kweli Yani serikali imerudi miaka kumi nyumba na mawazo ya hajabu kama ndo hivyo Mwendazake angeomba mkopo wa kununua madawati mashuleni na kununua vitanda ya hospitalini na angekopa pesa za kununua ndege.Atahoji kama tu akusoma kwenye madarasa hayo na kunyea kwenye vyoo hivyo.
Mbatia mbunge wa CCM kwa hisani ya watu wa msogaMwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi bwana James Mbatia akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Leo hii ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali yaliyojitokeza kwenye hotuba ya Rais na kauli ya Spika Job Ndugai
Mosi, Suala la akiba ya pesa za kigeni ameiomba serikali wabadili kauli yao ya kuwa tuna dola za marekani bilioni elfu sita yaani kimahesabu ni trilioni sita, China tu kama Taifa lenye pesa nyingi za kigeni wana dola za marekani trilioni tatu tu
Mheshimiwa Mbatia amesisitiza mahesabu ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wetu kwani hata pesa za mkopo wa uviko wanazojengea vyoo vya wanafunzi wanamshukuru Rais kwa msaada wakati hilo ni deni la Taifa, Hata Rais akiondoka kama alivyoondoka Magufuli na deni kubwa la Taifa, Deni la Taifa ameliacha kwa wananchi na serikali yao
Wananchi ndio watatakiwa kulipa madeni haya tena kwa pesa za kigeni, Hivyo James Mbatia anashangaa Rais kusema Tutaendelea kukopa bila kuangalia nani atalipa madeni haya ambayo pesa zake hazizalishi kitu, Mbatia amesisitiza ni lazima kuangalia uwezo wa wananchi kulipa madeni hayo
James Mbatia, Ni aibu kwa viongozi karne hii ya ishirini na moja kujenga vyoo kwa pesa za mkopo wa uviko halafu wanaandika kwenye ukuta wa Choo "Ahsante uviko 19" kama jambo la Furaha kumbe ni vichekesho
James Mbatia, Ni aibu viongozi wa serikali toka ngazi ya Taifa mpaka kata kila wakati kusema ahsante Rais umetoa pesa za flyover, mara barabara mara afya wakati ni pesa za watanzania na hata kama ni mkopo ni deni la watanzania. Rais yeye hana pesa za kujenga barabara au flyovers labda kama Rais anauza madawa ya kulevya
Pili, Ni upunguani umeshajijenga na tunazidi kuharibu watoto wa Taifa hili kutokana na upunguani wa viongozi wetu ambao wanashindwa kuelewa maana ya mkopo na deni la Taifa, James Mbatia amesisitiza baada ya watu kujibu hoja za Job Ndugai wao wanatafuta personal attack kwa Ndugai
James Mbatia, Anasisitiza upunguani wa viongozi ndio unapelekaea watu kushindwa kujibu hoja na kukimbilia kumtukana Job Ndugai, Tatizo la upunguani linawafanya viongozi washindwe kupima hoja kama Job Ndugai amekosea, Je usahihi ni upi amehoji bwana Mbatia
Tatu, James Mbatia amesisitiza somo la hesabu hata Bungeni ni tatizo kwa wabunge wengi sana, Ndio maana mambo yanaposomwa kuhusu hesabu wengi hawaelewi, James Mbatia amesisitiza Kuwa viongozi wanaandaliwa
Punguani mwingine huyu hapa, watu tuko kwenye wakati mgumu kiutawala wewe punguani unawaza nani akutawale!Ndugai for presidency 2025.
Tunaenda na .Ndugai
kama fatuma karume au ruyaga sio.Hoja za Mbatia zilishajibiwa. Kiufupi Mbatia huwa anakuwa mkosoaji mkubwa kiongozi akiwa wa dini flani hivi.
Jibu hoja sio kufanya person attack!Yeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Kwani lilikuwa limeyumba?Naona dishi limekukaa sawa sasa 🤣
Tunamatatizo makubwa sana kwa kweli! Hali hii inashangaza na kusikitisha sana! [emoji849][emoji848]Kwakweli inashangaza sana fedha za mkopo wanajengea madarasa na vyoo
Wakati tuliambiwa tozo hiyo ndio kazi yake.
Tozo inatumika katika nini???
Kwanini serikali badala ya kujikita katika kukusanya mapato inakimbilia kukopa tu??
Kwanini serikali inawaogopa wafanyabiashara mpaka wakipandisha bei kiholela ipo kimya tu??
Je ndio tuseme kwamba wafanyabiashara ndio wanaoongoza nchi kwa sasa??
Imagine this. Kuna mapunguani na mazezeta wengi sana Nchi hii, tukianzia humuhumu JF. Mbatia yupo sahihiNdio matatizo haya haya anayowaambia Mbatia badala ya kujadili hoja mmafanya personal attack.
Ndio aliyemfundisha HESABU!?Yeye mwenyewe amshukuru sana jakaya
Basi na yeye Ndugai ni zezeta namba mojaWazungu wanatuona mazezeta by Ndugai
Hii ya upunguani ni mpya sasa.