Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia.
"Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
"Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
"Haya unayofanya nakwambia wazi ni chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
"Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
"Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
"Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
Watu aina ya ngwajiboi hawana hofu na Mungu,wanatumia platfom za kidini kwa maslahi yao binafsi,inshot hakuna mwanasiasa wa kijani mwenye maono na malengo na nchi hii,wengi ni mafisadi na wahuni.
Nchi zetu hizi maskini ndio nchi zinazoongoza Kwa viongozi Kumtaja mungu , kufungua na kufunga mikutano kwa sala, n.k lakini ndiyo nchi zenye rushwa, umaskini, unafiki na matatizo mengine mengi.
Gwajima ni miongoni mwa matapeli wanaolitumia jina la Mungu kufanikisha malengo yao.
Ni miongoni mwa matapeli wasioamini uwepo wa Mungu. Laiti wangekuwa wanaamini kuwa Mungu yupo, wasingelikufuru jina lake na kulitumia jina lake kuwatapeli watu.
Lakini kwa hakika, matapeli wanaolikufuru jina la Mungu, ni dhahiri watayapata malipo yao.
Siku watu wakibadili jinsi tunavyo fikiria...
Ndipo Tanzania ita under go AGRIRIAN REVOLUTION,
Historia inatueleza wote walio wai kuanzisha battle na GWAJIMA walidondokea pua.....
Jamaa ni gifted na ana MUNGU....Sio rahisi Kama MWANAUME kuwatungisha ujauzito WANAWAKE 100
GWAJIMA kuweza kutengeneza MEGA CHURCH TANZANIA NZIMA...jamaa ni TALENTED HUCHOKI KUMSIKILIZA..🇹🇿🇹🇿
KADA Maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
@bishopgwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia,
.
Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
.
Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
.
Haya unayofanya nakwambia wazi ni Chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
.
Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
.
Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
.
Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
.
Asomaye na afahamu
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia.
"Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
"Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
"Haya unayofanya nakwambia wazi ni chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
"Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
"Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
"Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia.
"Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
"Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
"Haya unayofanya nakwambia wazi ni chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
"Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
"Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
"Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
Siku watu wakibadili jinsi tunavyo fikiria...
Ndipo Tanzania ita under go AGRIRIAN REVOLUTION,
Historia inatueleza wote walio wai kuanzisha battle na GWAJIMA walidondokea pua.....
Jamaa ni gifted na ana MUNGU....Sio rahisi Kama MWANAUME kuwatungisha ujauzito WANAWAKE 100
GWAJIMA kuweza kutengeneza MEGA CHURCH TANZANIA NZIMA...jamaa ni TALENTED HUCHOKI KUMSIKILIZA..🇹🇿🇹🇿
Yupo sahihi kumlinganisha Yesu na Mama Samiah au Sanga?. Yani yupo sahihi kumtumia Yesu kwenye siasa?. Ndio maana ukristo unadharaulika siku hizi nobody cares.