Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Bangoza akifanya hivyo kanisani kwake nyie CCM mtakubali??
Mnapigania haki za binadam ila hamtaki mtu awe na Uhuru wa kuongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnapigania haki za binadam ila hamtaki mtu awe na Uhuru wa kuongea
Kweli ujinga ni sifa, sawa ulivyo ufupi, urefu au unene. Eti Gwajima ni talented, ameweza kujenga mega church!! Iyo mega church ipo wapi?Siku watu wakibadili jinsi tunavyo fikiria...
Ndipo Tanzania ita under go AGRIRIAN REVOLUTION,
Historia inatueleza wote walio wai kuanzisha battle na GWAJIMA walidondokea pua.....
Jamaa ni gifted na ana MUNGU....Sio rahisi Kama MWANAUME kuwatungisha ujauzito WANAWAKE 100
GWAJIMA kuweza kutengeneza MEGA CHURCH TANZANIA NZIMA...jamaa ni TALENTED HUCHOKI KUMSIKILIZA..[emoji1241][emoji1241]
GWAJIMA YUPO SAHIHI NA VICE VERSA IS TRUE....
Mi sina ujinga kuwa na chama kama wewe ndo maana mmekuwa vipofu, ccm wakifanya ujinga wanachama wanatetea hata kama wanajua ni upuuzi, na chadema wakifanya ujinga wanachama wanatetea hata Kama ni upuuziBangoza akifanya hivyo kanisani kwake nyie CCM mtakubali??
Mtu aliyeshiriki Wizi wa kura ukiambatana na Mauaji awezaje kumuogopa Mungu ?Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia.
"Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
"Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
"Haya unayofanya nakwambia wazi ni chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
"Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
"Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
"Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
"Asomaye na afahamu."
View attachment 2567465
Hili ni shetani kabisa! NImeiona kufuru ya kutisha!. Nimeamini zile video za kutoka na wanawake ni za kweli! Makonda uliona mbali anaweza kuwa muuza ngada huyu!Kada maarufu wa CHADEMA, James Mbowe ameandika kuhusiana na utaratibu ulionzishwa na Askofu Josephat Gwajima kuendesha mikutano ya Injili huku akitumia kufanya kampeni za siasa.
===
"Bishop Gwajima nisikilize kwa makini huenda umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli! Lakini huu usanii wako unaofanya kupitia jina la Yesu acha mara moja hii tabia.
"Hivi kwanza nikuulize wewe ni mbunge naamini unajua Protocal hivi unavyomtaja Mama samia, Mbunge wa Makambako, Kisha Mwisho unamtaja Yesu Hivi nikuulize kati ya Yesu na Rais Samia nani anatakiwa kutajwa wa kwanza?
"Pili unaenda kwenye Mikutano ya Injili unapeperusha Bendera ya CCM na Bendera ya Bunge je Hiyo mikutano yako imedhaminiwa na CCM na Bunge? Je tuamini ni Ushamba wako au washauri wako wanakupoteza?
"Haya unayofanya nakwambia wazi ni chukizo mbele za Mungu ni vyema ukatubu na uache mara moja mambo yako ya kumtaja Yesu kwrnye Mikutano yako yenye ajenda za Kisiasa, Mungu ni Mungu mwenye Wivu hashirikiani utukufu wake na kiumbe awaye yote, Acha kabisa kumtaja Rais Samia kwenye mikutano yako hatutaki umchonganishe Rais wetu na Mungu.
"Awamu ya Sita mlimsifia Magufuli mkafika mahali pa kukufuru Mungu mkaanza kumuita Magufuli Mh Mungu,
"Yawezekana Rais hajaona unachofanya ingawa unatafuta Sifa lakini nakuhakikishia hizi siyo Sifa ni Kufuru kwa Mungu.
"Mimi nimekueleza wazi kwasababu nakupenda ningeweza kunyamaza kama wengine walivyoamua kunyamaza. Lakini sipo tayari kuona Jina la Yesu linatumika ndivyo sivyo nikanyamaza.
"Asomaye na afahamu."
View attachment 2567465
Kweli wewe ni Uchwara!Who the f*uck is James Mbowe kumpangia Gwajima na waumini wake nini cha kuongea kwenye ibada yao? These CDM are truly mental!
\Haya ranking! Samia- Yesu Kristo- Sanga endeleeni tu shoka laja!Kwani huyu James Mbowe anakereketwa na nini? Si mumeruhusiwa nyie kufanya siasa shida Iko wapi?
Labda Cha kukukumbusha ni kwamba huyo sio tuu ni mwanasiasa Bali Mchungaji so huwezi tenganisha haya mambo 2.
Basi hapa ndio umeandika kweli yaani !!Who the f*uck is James Mbowe kumpangia Gwajima na waumini wake nini cha kuongea kwenye ibada yao? These CDM are truly mental!
Hivi kwa waislamu ukimweka mtume Muhamad SAW kwenye hiyo ranking hivi sasa ungekuwa unajificha kama ndezi tu! Ungewindwa kama dig digWho the f*uck is James Mbowe kumpangia Gwajima na waumini wake nini cha kuongea kwenye ibada yao? These CDM are truly mental!
Sijaona popote gwajima kuwalinganisha Samia na Yesu.Hivi kwa waislamu ukimweka mtume Muhamad SAW kwenye hiyo ranking hivi sasa ungekuwa unajificha kama ndezi tu! Ungewindwa kama dig dig
Haina haja ya kutafuta battle na ligi...Kweli ujinga ni sifa, sawa ulivyo ufupi, urefu au unene. Eti Gwajima ni talented, ameweza kujenga mega church!! Iyo mega church ipo wapi?
Gwajima mcheza porno asababishe watu kudondokea pua labda pua la sukuma gang na nguruwe wa ccm.Siku watu wakibadili jinsi tunavyo fikiria...
Ndipo Tanzania ita under go AGRIRIAN REVOLUTION,
Historia inatueleza wote walio wai kuanzisha battle na GWAJIMA walidondokea pua.....
Jamaa ni gifted na ana MUNGU....Sio rahisi Kama MWANAUME kuwatungisha ujauzito WANAWAKE 100
GWAJIMA kuweza kutengeneza MEGA CHURCH TANZANIA NZIMA...jamaa ni TALENTED HUCHOKI KUMSIKILIZA..🇹🇿🇹🇿
GWAJIMA YUPO SAHIHI NA VICE VERSA IS TRUE....
Samia hoyee, Yesu hoyee, sanga hoyee!Sijaona popote gwajima kuwalinganisha Samia na Yesu.
Angetajwa Mtume yule wa dini ile bila shaka sasa hivi Gwajima angekuwa pasipojulikana kwa fujo ambazo zingemkuta toka kwa wafia dini.Mnapigania haki za binadam ila hamtaki mtu awe na Uhuru wa kuongea