James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

Mimi ni mkristo ila dini yetu Iko corrupted sana, watu wanaicbezea namNa wanavyotaka.
 
Kweli ujinga ni sifa, sawa ulivyo ufupi, urefu au unene. Eti Gwajima ni talented, ameweza kujenga mega church!! Iyo mega church ipo wapi?
 
Ukiona upo Karibu na mtu anayemchukulia bwana gwajima kama kiongozi wa dini unatakiwa kujitafakari sana.
 
Bangoza akifanya hivyo kanisani kwake nyie CCM mtakubali??
Mi sina ujinga kuwa na chama kama wewe ndo maana mmekuwa vipofu, ccm wakifanya ujinga wanachama wanatetea hata kama wanajua ni upuuzi, na chadema wakifanya ujinga wanachama wanatetea hata Kama ni upuuzi
Wote nyie ccm na chadema nawaona kama nyumbu
 
Mtu aliyeshiriki Wizi wa kura ukiambatana na Mauaji awezaje kumuogopa Mungu ?
 
Hili ni shetani kabisa! NImeiona kufuru ya kutisha!. Nimeamini zile video za kutoka na wanawake ni za kweli! Makonda uliona mbali anaweza kuwa muuza ngada huyu!
 
Kwani huyu James Mbowe anakereketwa na nini? Si mumeruhusiwa nyie kufanya siasa shida Iko wapi?

Labda Cha kukukumbusha ni kwamba huyo sio tuu ni mwanasiasa Bali Mchungaji so huwezi tenganisha haya mambo 2.
\Haya ranking! Samia- Yesu Kristo- Sanga endeleeni tu shoka laja!
 
Angemshauri baba yake mdogo aache kupanda majukwaani na konyagi then aende kwa Gwajiboy
 
Kweli ujinga ni sifa, sawa ulivyo ufupi, urefu au unene. Eti Gwajima ni talented, ameweza kujenga mega church!! Iyo mega church ipo wapi?
Haina haja ya kutafuta battle na ligi...
Wazungu husema
"NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK"
GWAJIMA mwenyewe husema ametokea kwenye familia ya kimaskini sana shuleni primary alienda peku peku source:YouTube
What's is MEGA CHURCH?
Alaf issue zingine ni rahisi tu😊☺️ kama una muda kanisa lake lipo pale ubungo chai Bora unaweza kwenda as investigator uje utusimulie.....
 
Gwajima mcheza porno asababishe watu kudondokea pua labda pua la sukuma gang na nguruwe wa ccm.
 
Mnapigania haki za binadam ila hamtaki mtu awe na Uhuru wa kuongea
Angetajwa Mtume yule wa dini ile bila shaka sasa hivi Gwajima angekuwa pasipojulikana kwa fujo ambazo zingemkuta toka kwa wafia dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…