James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

Kwani huyu James Mbowe anakereketwa na nini? Si mumeruhusiwa nyie kufanya siasa shida Iko wapi?

Labda Cha kukukumbusha ni kwamba huyo sio tuu ni mwanasiasa Bali Mchungaji so huwezi tenganisha haya mambo 2.
mchungaji wa kufanya ngono na wafuas wake labda, na akiendelea atakufa kama magufuli kabla ya 2025 aendelee kucheza na Mungu.
 
Paka anaendelea kujinyakulia point 3 za kufungia dini za kilaghai kama hizi kwake Rwanda.
 
Nililiona hili jambo toka anaanza kuzurura kwenye mikutano yake, siku hizi anatangaza Injili kimkakati sana.. he's totally manipulated by asali ya CCM.
 
Huyo James ni Muumini wa huyo Gwajima ?

Kama sivyo nadhani basi to each his/her own....., Binafsi kabla ya kuchukizwa na Tabia za kina Gwajima nachukizwa na tabia za wale wanaojaribu kuziba wengine midomo
 
Huyo James ni Muumini wa huyo Gwajima ?

Kama sivyo nadhani basi to each his/her own....., Binafsi kabla ya kuchukizwa na Tabia za kina Gwajima nachukizwa na tabia za wale wanaojaribu kuziba wengine midomo
Wakristo ni walemavu kabisa! biblia inaweza kutukanwa! madhabahu zikaharibiwa! na sasa wapuuzi wanamlinganisha Yesu na rais na mbunge! Aisee aibu!
 
Wakristo ni walemavu kabisa! biblia inaweza kutukanwa! madhabahu zikaharibiwa! na sasa wapuuzi wanamlinganisha Yesu na rais na mbunge! Aisee aibu!
Kwamba huyo Yesu anashindwa kupigana vita vyake mwenyewe mpaka mimi na wewe tupigane na kutukanana kwa Jina la kumfuata ?!!!!

'I like your Christ, I do not like your Christians. Your Christians are so unlike your Christ.' - Gandhi
 
Hivi kwa waislamu ukimweka mtume Muhamad SAW kwenye hiyo ranking hivi sasa ungekuwa unajificha kama ndezi tu! Ungewindwa kama dig dig
Kwani Gwajima ni muislamu? Kila dini/ dhehebu na utaratibu wake! Kuanza kuleta hypothetical scenarios za ingekuwa hivi au vile ni dalili za kutokuwa na hoja.
 
Basi hapa ndio umeandika kweli yaani !!
Kwani uongo?? Kuna mtu kalazimishwa kusikiliza mahubiri ya Gwajima? Mwache kujifanya wapenda demokrasia na uhuru wa kujieleza wakati huohuo kutwa kucha mnawashambulia wengine wakitumia uhuru wao. Mdikteta sana ninyi CDM!
 
Yupo sahihi kumlinganisha Yesu na Mama Samiah au Sanga?. Yani yupo sahihi kumtumia Yesu kwenye siasa?. Ndio maana ukristo unadharaulika siku hizi nobody cares.
Issue ya uelewa imekua ngumu sana Kwa baadhi ya wa TANZANIA wenzangu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Huwa hatujikiti kutafiti taarifa za kuambiwa na baadhi wana vichwa vigumu...

NDIO maana watu wa aina yangu Huwa hatutakiwi tuwe kwenye siasa na hata nafas za Uraisi...

Marais Kwa KATIBA YETU,
Mm ni aina ya watu kama JPM
Yaan... kwenye hii thread Kuna wachangiaji baadhi NINGEWAPELEKA GEREZA LA KILIMO MIEZI SITA NA KAZI NGUMU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu aina ya ngwajiboi hawana hofu na Mungu,wanatumia platfom za kidini kwa maslahi yao binafsi,inshot hakuna mwanasiasa wa kijani mwenye maono na malengo na nchi hii,wengi ni mafisadi na wahuni.
Aekeze kiukweli kabisa kama ubunge aliupata kihakali bila kubebwa au bila kubebesha.
 
Nchi zetu hizi maskini ndio nchi zinazoongoza Kwa viongozi Kumtaja mungu , kufungua na kufunga mikutano kwa sala, n.k lakini ndiyo nchi zenye rushwa, umaskini, unafiki na matatizo mengine mengi.
kabisa mkuu, umesahau na ushirikina. nilienda kitongoji kimoja niliyoyaona nikasema kama mtu akiwa nagombea tuseme uenyekiti, atapata kura nyingi akimtaja sana mungu na kuwahakikishia matambiko ya kutosha. huko wakipata, wanamtaja mungu, wakikosa wanamtafuta mganga(shetani) afanye mambo. watanzania wengine hawajui hata wanaamini nini; mtu, shetani au Mungu
 
Mm kwa uchunguzi wangu time will tell tutasimulianaga humu Jf tukizeeka GWAJIMA ameweza....
Kutengeneza strong institution yaan GWAJIMA hata asipo kuwepo UFUFUO NA UZIMA
Kanisa litaendelea na ameweza ku intuit mfumo ambao sio one man (army) show...
GWAJIMA ana makanisa Kila wilaya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Na mpka Sasa GWAJIMA ameweza kupanda makanisa mpk huko ndani ndani kwenye Kila mikutano
Pia ameweza kutengeneza a Very strong (CHURCH MINISTRY)

Huu ndio uchunguzi wangu wa haraka haraka
A MAN WHO SAW TOMORROW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…