James Mbowe amvaa Askofu Gwajima kuchanganya mikutano ya injili na siasa za Rais Samia

Mnakuja kustuka Yeye ameshaizunguka Nchi nzima Kwa mikutano hiyo.

Tusubiri.
 
Israeli ni TAIFA la AHADI.

Tanzania ni TAIFA la AGANO.

Tusubiri.
 
vita ni vita muraa. Kila mtu ashinde mechi zake. Twende kazi askofu Gwajima. Nireteeeni Gwajimaaaa alisikika mchato (R.I.P)
 
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Watu kama hawa ndio wanaichonganisha serikali na wananchi mtu mwenye akilio timamu hawezi kulichezea jina la yesu kiasi hiki kwaiyo siku hizi hatusemi Bwana Yesu asifiwe tunasema Yesu Kristo oyeee huu ni zaidi ya upuuzi anafanya siasa za kishamba sana
 
Vipi amesemaje kuhusu maaskofu Shayo, Bagonza, na Bandikile(?)? Au wao kwa kuwa wanapigia chapuo chadema basi siyo kuchanganya dini na siasa?
 
Watu wa kawe ni mazoba sana. Bado wanasubiri kupelekwa Birmingham
 
Halafu unapataje ujasiri kwanza WA kumuongelea MTU aliyekuzidi Kila kitu kasolo ujinga wako
Una ujinga mwingi kwenye kichwa chako kautoe kwanza ndo Uje kuandika tena
 
Kwenye HIERARCH ya GWAJIMA na SUKUMA GANG, hiyo ndio anaamini, kwamba Mama, Mbunge na mwisho YESU.
 
Siyo kweli kwamba unamwambia Mhe.Gwajima kwa sababu unampenda.Ni kwa sababu unaona anaifunika Chadema.Hata Mbowe huwa anafanya siasa kwenye mimbali ya KKKT hususan kwenye jimbo lake la Hai.
Kumtaja Mungu au Yesu kwenye mikutano ya hadhara ya kisiasa ni jambo la kawaida kwenye siasa za nchi hii.
 
Mimi ni mkristo ila dini yetu Iko corrupted sana, watu wanaicbezea namNa wanavyotaka.
Kinachotupeleka mbinguni sio ukristo, toka hapo ulipo hakuna uhusiano kagi ya mbingu na ukristo bali uhusiano wetu upo katika kutii na kumpenda Yesu Kristo
 
Kinachotupeleka mbinguni sio ukristo, toka hapo ulipo hakuna uhusiano kagi ya mbingu na ukristo bali uhusiano wetu upo katika kutii na kumpenda Yesu Kristo
Najua dini hainipeleki mbinguni Bali matendo, ila nyie manabii miyeyusho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…