James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

James Mbowe ana cheo gani huko CHADEMA?

1. Mambo mengine CHADEMA mnajichanganya aisee.

2. Huyu mtu hata kujieleza hawezi ana cheo huko CHADEMA?

3. Kiwango chake cha juu cha Elimu? Usikute ngumbaru mwenzetu!!
Kwa ujinga wako maprofesa ndio wanajua siasa! Siasa siyo elimu ya chuo kikuu bali ni uwezo wa mtu binafsi kwenye kujenga hoja.
 
Back
Top Bottom