Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi katokea wapi tena huyu? Mbona anabwabwanya sana?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Ndo nani huyu huko.Dare salama. Mi niko ndanindani huku pemba mnaziJames Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Anawasanuenu kwamba uk8jufanya kuipinga serikali, watanzania watakukimbia, utabaki Mwenyewe na familia yako.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
toilet paper ya CCM kama msemaji wao huyo .Yani hata airtime za redio naona wanalipiaHivi katokea wapi tena huyu? Mbona anabwabwanya sana?
Wakiwa watu wengi ndani na nje ya Mahakama wanamtia moyo mshitakiwa na inawaonyesha waliomshitaki kuwa watu wana imani nae.Sijaelewa kuwa na watu wengi mahakamani ndio nini?
Wingi unaanzia wangapi?Wakiwa watu wengi ndani na nje ya Mahakama wanamtia moyo mshitakiwa na inawaonyesha waliomshitaki kuwa watu wana imani nae.
Amandla...
2019Lini umemaliza darasa la saba?
Amandla...
Umejitahidi. Lakini siwezi kukusaidia kwenye hili. Hauwezi kunielewa.2019
Dogo ana tabia zote za kichoko.Mzee FAM, Tunataka kujua kijana alienda ile jando la asili au ulimpeleka pale MAWENZI hospital akapetiwa petiwa na ganzi
Hebu mkanye mwanao naona analeta tabia za kichawa
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.