GE2025 James Mbowe: Kesi ya Lissu Watu 300 hawafiki Mahakamani

GE2025 James Mbowe: Kesi ya Lissu Watu 300 hawafiki Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi katokea wapi tena huyu? Mbona anabwabwanya sana?
Chadema imejaa vilaza aisee, kila anayetoka unakuta ni bogus kwelikweli, toka wameanza kuondoka Chadema hakuna hata mmoja mwenye akili.
Yawezekana waliobaki ni nyumbu kwelikweli, ngoja waendelee kutoka tuone kama kuna mwenye akili.
 
Sikiliza James Mbowe, mahakama ilishatoa maamuzi ya kwamba wanaptakiwa kuingia ni watu 60 pekee na ikaamua kurusha online kesi hiyo. Na ndio kesi ya kwanza kurushwa online.
Sawa. Kama ni hivyo kuna umuhimu gani wa Mbowe kuwa Mahakamani wakati anaweza kufuatilia online bila kuwa na hofu ya kukosa kiti? Si mmesema Mahakama inashona?

Amandla...
 
Basi niache nibaki na ubishi wangu wa kitoto.

Amandla...

James Mbowe Una ubishi wa kitahira sio wa kitoto. Wakati watu wanapigwa wasiingie kisutu mlikuwa wapi?. Leo Mahakama kwa kuona umuhimu wa kesi inarushwa online. Hivi kesi ya baba yako ilirushwa online, na je kwenye kesi ya baba yako watu walijaa mahakamani?. Punguza unafiki wewe bwana mdogo.
 
Wewe na huyo na mnafiki mwenzako hamkusikia mwongozo wa mahakama ya kwamba watu wasizidi 60?
Mahakama itatenda haki hakuna sababu ya kujazana hapo, kila mtu aendelee na kazi zake TAL atapata haki yake. Si ndio?
 
Huyu mtt hana impact yyt anayoweza kituletea km taifa yeye na FAM kwa msimamo wa yule mnyaturu na mkurya hawa wazee wa saccos hawatoboi
 
Kipindi police inafukuza watu mahakamani wanapigwa virungu James Mbowe alikua mdogo sana
 
James Mbowe Una ubishi wa kitahira sio wa kitoto. Wakati watu wanapigwa wasiingie kisutu mlikuwa wapi?. Leo Mahakama kwa kuona umuhimu wa kesi inarushwa online. Hivi kesi ya baba yako ilirushwa online, na je kwenye kesi ya baba yako watu walijaa mahakamani?. Punguza unafiki wewe bwana mdogo.
Matusi ya nini? Kama ni hivyo kwa nini mnakazania Mbowe ahudhurie Mahakamani? Nyie si mnatosha? Kwenye kesi ya Mbowe watu walikuwa wanajaa kuliko hii ya Lissu.
Btw, ukinitukana tena nakuweka kwenye ignore list. Jenga hoja bila matusi tutaelewana na nilipokosea nitakiri kukosea. Cha msingi ni kuheshimiana.

Amandla...
 
Tarehe 24 April wakati wanachama wa Chadema wanapigwa na kuvunjwa mikono na miguu pale Kisutu huyu bwege alikuwa anafakamia Konyagi na babake ndiyo maana anaongea huu upumbavu, Freeman kala hasara hakuna mtoto hapo bora hata amtoe kafara tu hilo ni garasa kabisa.
 
Sawa. Kama ni hivyo kuna umuhimu gani wa Mbowe kuwa Mahakamani wakati anaweza kufuatilia online bila kuwa na hofu ya kukosa kiti? Si mmesema Mahakama inashona?

Amandla...

Mbowe ni kiongozi mkuu mstaafu ndio maana watu wanapiga kelele. Na Lissu alimwambia hakuna kukimbia atabaki kama mshauri kwenye kamati Kuu. Sasa asipoonekana inaleta maswali. Kama Generali Ulimwengu anatokea kwanini huyo Mbowe asitokee?
 
Chadema imejaa vilaza aisee, kila anayetoka unakuta ni bogus kwelikweli, toka wameanza kuondoka Chadema hakuna hata mmoja mwenye akili.
Yawezekana waliobaki ni nyumbu kwelikweli, ngoja waendelee kutoka tuone kama kuna mwenye akili.

Na hao vilaza wakitoka CHADEMA wanapewa uwaziri na ubunge CCM. Ina maana CCM Kuna maiti kama wewe.
 
Mbona mahakama ilitoa maelekezo ya idadi ya watu wanaotakiwa mahakamani?
Ambapo ilisema wataoruhusiwa kuingia ni 60 pekee na wegine wote wataangalia kupitia mtandao
Fala huyo dogo, siku ya kwanza kesi ya lissu mahakamani nyomi ya watu ilikuwa kuubwa mahakamani watu wakaishia kupigwa virungu na polisi, leo anaongea ujinga gani?!.
 
Mbowe ni kiongozi mkuu mstaafu ndio maana watu wanapiga kelele. Na Lissu alimwambia hakuna kukimbia atabaki kama mshauri kwenye kamati Kuu. Sasa asipoonekana inaleta maswali. Kama Generali Ulimwengu anatokea kwanini huyo Mbowe asitokee?
Kiongozi Mkuu Mstaafu ambae hamjaacha kumtukana. Amebaki kama mjumbe wa Kamati Kuu. Hakuna mtu anaeweza kumlazimisha kuhudhuria Mahakamani. Yeye na Jenerali Ulimwengu ni watu tofauti. Aliyopitia Mbowe Jenerali hajapitia. Heshimuni uamuzi wake wa kukaa kimya na pengine iko siku atahudhuria Mahakamani. Ila hamuwezi kumlazimisha kwa kumkejeli na kumtukana.

Kuna viongozi wa kutosha wa kuwakilisha Chadema na taifa Mahakamani. Sio lazima awepo Mbowe.

Amandla...
 
Fala huyo dogo, siku ya kwanza kesi ya lissu mahakamani nyomi ya watu ilikuwa kuubwa mahakamani watu wakaishia kupigwa virungu na polisi, leo anaongea ujinga gani?!.
Mwanapinduzi gani anaogopa virungu? Huyo mnayemuita msaliti alikuwa anajitokeza kwenye Maandamano ambayo yalikatazwa. Alikuwa anahudhuria vikao ambavyo vilikatazwa. Yeye na wenzake walipigwa, walitupwa rumande na hatimae alifungwa. Lakini hakukata tamaa. Halafu nyinyi mnaomuaminisha Lissu kuwa mko nae mnaogopa virungu? Mtaweza kweli kusimama nae atakapo linukisha kama alivyo ahidi? Au mtaendelea na u armchair warriors wenu?

Amandla...
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.

Amesahau kuwa mara ya mwisho baba yake aliitisha maandamano akajitokeza mwenyewe na bunt yake huku viongozi wa CHADEMA wakizuiwa majumbani mwao?

Kwani kesi ya ugaidi ya Mbowe walikuwa wanahudhuria wangapi Mahakamani?

Tena bora ya Lissu watu walijitokeza lakini Polisi ikawa inawapiga
 
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.

Hajasema watu wangapi wanaifuatilia online pamoja na ITV. Pia ndio kesi ya kwanza TZ kurushwa live.
 
Back
Top Bottom