NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Malaya wa kisiasa Nyerere alisemaga
Yeye alienda lini? Au kazi yake ni kuhesabu wahudhuriaji wa kesi tu?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Kwanini isiwezekane watu elfu moja kati ya wanachama mamilioni?wengi wanakuwa online. Na haiwezekani maakamani pia wakaenda alfu moja na zaidi.. Hana akili huyo kijana
Kwa hiyo, hiyo ndiyo njia ya kutoingilia Mahakama.hata watu 300 hawafiki
James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Humo mahakamani wanaruhusiwa watu 80 tu kuingia ndani kwa sababu ya upungufu wa nafasi. Sasa watu 300 waende na kusimamama nje ili iweje? Si bora wafuatilie kesi kwenye runinga?wengi wanakuwa online. Na haiwezekani maakamani pia wakaenda alfu moja na zaidi.. Hana akili huyo kijana
Huyu hana impact yoyote kwenye siasa za nchi hiiJames Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
James hujitambui,nenda page ya youtube ya mahakama uone views za kesi.Ina maana hujui kama watu wamepigwa sana mpaka kuvunjwa miguu.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Tanzanians are not the kind of people to risk your life for — that’s a lesson I learned a long time ago.Anawasanuenu kwamba uk8jufanya kuipinga serikali, watanzania watakukimbia, utabaki Mwenyewe na familia yako.
Kwa k8fupi ametoa code kwamba kwa tabia za watanzania ndiyo maana baba yake akaamua kuwawahi na kwenda kuwauza kabla hawajamuacha kafilisika
Hapa umeamua tu kuendeleza ubishi wa kitoto. Sasa sijui hata hizo issue za VPN umezitoa wapiNa hilo ndio tatizo. Ni watanzania wangapi wako online? Na wana VPN? Support inaonyeshwa live on the ground. Mbowe alishtakiwa na watu walijaa Mahakamani. Na wanachama wa Bawacha walikaa sana rumande kwa kukataa kunyamazishwa on the ground. Wakina Ruge walianzisha jogging Club kushinikiza aachiwe. Wakina mama wengine wakaandamana nje ya ubalozi wa Marekani. Na waliendelea kujazana Mahakamani hata baada ya miezi saba! Nilitegemea moyo huo huo ungeonyeshwa na hawa wa siasa za nginja nginja.
Amandla...
Na hilo ndio tatizo. Ni watanzania wangapi wako online? Na wana VPN? Support inaonyeshwa live on the ground. Mbowe alishtakiwa na watu walijaa Mahakamani. Na wanachama wa Bawacha walikaa sana rumande kwa kukataa kunyamazishwa on the ground. Wakina Ruge walianzisha jogging Club kushinikiza aachiwe. Wakina mama wengine wakaandamana nje ya ubalozi wa Marekani. Na waliendelea kujazana Mahakamani hata baada ya miezi saba! Nilitegemea moyo huo huo ungeonyeshwa na hawa wa siasa za nginja nginja.
Amandla...
Anamaanisha makamanda wamejaa mitandaoni hivyo siasa za nchi hii si za kupush watu waingie barabarani kama Kenya, utajikuta mwenyewe ndo maana mahakamani TAL yupo mwenyewe hata watu 300 hawafiki. Siasa za nchi hii ni kupush maridhiano unless unataka shida ukiwa peke yako.
Ndivyo nilivyomuelewa
Yeye kwa nini alikuwa haendi? Hawa na kundi lao wameivuruga chadema Kisha kuikimbia.Nani ameifungulia kesi mahakamani?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Imagine TAL anafikishwa mahakamani halafu kila sehemu kumejaa hadi nje hakuna pa ku kanyaga. Hii ni nzuri kwake au ni mbaya?Humo mahakamani wanaruhusiwa watu 80 tu kuingia ndani kwa sababu ya upungufu wa nafasi. Sasa watu 300 waende na kusimamama nje ili iweje? Si bora wafuatilie kesi kwenye runinga?
Kilaza wa Mbowe!James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Huyu James Delicious kweli, hizo ndiyo sera zitakwenda kumpa ubunge huko Hai? Mbowe yaelekea siku anamkojoa huyu bwege alikuwa bwaxi sana bao lilijaa konyagi tupu.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Basi niache nibaki na ubishi wangu wa kitoto.Hapa umeamua tu kuendeleza ubishi wa kitoto. Sasa sijui hata hizo issue za VPN umezitoa wapi
Inaonekana unajadili jambo usilolielewa.