Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Chadema imejaa vilaza aisee, kila anayetoka unakuta ni bogus kwelikweli, toka wameanza kuondoka Chadema hakuna hata mmoja mwenye akili.Hivi katokea wapi tena huyu? Mbona anabwabwanya sana?
Sawa. Kama ni hivyo kuna umuhimu gani wa Mbowe kuwa Mahakamani wakati anaweza kufuatilia online bila kuwa na hofu ya kukosa kiti? Si mmesema Mahakama inashona?Sikiliza James Mbowe, mahakama ilishatoa maamuzi ya kwamba wanaptakiwa kuingia ni watu 60 pekee na ikaamua kurusha online kesi hiyo. Na ndio kesi ya kwanza kurushwa online.
Basi niache nibaki na ubishi wangu wa kitoto.
Amandla...
Mahakama itatenda haki hakuna sababu ya kujazana hapo, kila mtu aendelee na kazi zake TAL atapata haki yake. Si ndio?Wewe na huyo na mnafiki mwenzako hamkusikia mwongozo wa mahakama ya kwamba watu wasizidi 60?
Matusi ya nini? Kama ni hivyo kwa nini mnakazania Mbowe ahudhurie Mahakamani? Nyie si mnatosha? Kwenye kesi ya Mbowe watu walikuwa wanajaa kuliko hii ya Lissu.James Mbowe Una ubishi wa kitahira sio wa kitoto. Wakati watu wanapigwa wasiingie kisutu mlikuwa wapi?. Leo Mahakama kwa kuona umuhimu wa kesi inarushwa online. Hivi kesi ya baba yako ilirushwa online, na je kwenye kesi ya baba yako watu walijaa mahakamani?. Punguza unafiki wewe bwana mdogo.
Kipindi wanawafukuza watu mahakamani tena kwa virungu mlikua bado mnanyonya cheap politicsLini umemaliza darasa la saba?
Amandla...
Haumjui Fundi Mchundo.Kipindi wanawafukuza watu mahakamani tena kwa virungu mlikua bado mnanyonya cheap politics
Sawa. Kama ni hivyo kuna umuhimu gani wa Mbowe kuwa Mahakamani wakati anaweza kufuatilia online bila kuwa na hofu ya kukosa kiti? Si mmesema Mahakama inashona?
Amandla...
Tumia akili na wewe, OT na Mahakamani vitu viwili tofautiNa watu hawaendi Old Trafford kwa sababu mpira unaonyeshwa live kwenye luninga.
Amandla...
Chadema imejaa vilaza aisee, kila anayetoka unakuta ni bogus kwelikweli, toka wameanza kuondoka Chadema hakuna hata mmoja mwenye akili.
Yawezekana waliobaki ni nyumbu kwelikweli, ngoja waendelee kutoka tuone kama kuna mwenye akili.
Fala huyo dogo, siku ya kwanza kesi ya lissu mahakamani nyomi ya watu ilikuwa kuubwa mahakamani watu wakaishia kupigwa virungu na polisi, leo anaongea ujinga gani?!.Mbona mahakama ilitoa maelekezo ya idadi ya watu wanaotakiwa mahakamani?
Ambapo ilisema wataoruhusiwa kuingia ni 60 pekee na wegine wote wataangalia kupitia mtandao
Kiongozi Mkuu Mstaafu ambae hamjaacha kumtukana. Amebaki kama mjumbe wa Kamati Kuu. Hakuna mtu anaeweza kumlazimisha kuhudhuria Mahakamani. Yeye na Jenerali Ulimwengu ni watu tofauti. Aliyopitia Mbowe Jenerali hajapitia. Heshimuni uamuzi wake wa kukaa kimya na pengine iko siku atahudhuria Mahakamani. Ila hamuwezi kumlazimisha kwa kumkejeli na kumtukana.Mbowe ni kiongozi mkuu mstaafu ndio maana watu wanapiga kelele. Na Lissu alimwambia hakuna kukimbia atabaki kama mshauri kwenye kamati Kuu. Sasa asipoonekana inaleta maswali. Kama Generali Ulimwengu anatokea kwanini huyo Mbowe asitokee?
Mwanapinduzi gani anaogopa virungu? Huyo mnayemuita msaliti alikuwa anajitokeza kwenye Maandamano ambayo yalikatazwa. Alikuwa anahudhuria vikao ambavyo vilikatazwa. Yeye na wenzake walipigwa, walitupwa rumande na hatimae alifungwa. Lakini hakukata tamaa. Halafu nyinyi mnaomuaminisha Lissu kuwa mko nae mnaogopa virungu? Mtaweza kweli kusimama nae atakapo linukisha kama alivyo ahidi? Au mtaendelea na u armchair warriors wenu?Fala huyo dogo, siku ya kwanza kesi ya lissu mahakamani nyomi ya watu ilikuwa kuubwa mahakamani watu wakaishia kupigwa virungu na polisi, leo anaongea ujinga gani?!.
Amesahau kuwa mara ya mwisho baba yake aliitisha maandamano akajitokeza mwenyewe na bunt yake huku viongozi wa CHADEMA wakizuiwa majumbani mwao?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Hajasema watu wangapi wanaifuatilia online pamoja na ITV. Pia ndio kesi ya kwanza TZ kurushwa live.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.