johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Laana na iwe juu yao.Familia ya matapeli kuanzia baba,watoto hadi vitukuu
Chama cha Wanaume Rijali na Timamu (CHAWARITI) tulikubaliana kuwa mwanamke uliyeachana naye, hasemwi!!James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Malipo ni hapa Duniani ,uyu ameisha jisaulisha namna ,watz walimpigania baba yake akiwa na kesi ya Ugaidi sio ,Mungu yupo kazini awa wahuni kuwaliojifanya kuwa chadema watalipa tu.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Huyu ni wa kike au wa kiume?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Sijawahi kusikia hawa wanoumwa sijui ndiyo Chaumwa/chauma wanaongelea sera zao, au lolote baya kwa CCM. Wao ni Lissu, Chadema, Lema nk.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Kesi inaonyeshwa live. Na hiyo mahamaka haipokea zaidi ya watu 100. Hata hivyo hiyo ndio sera ya Chauma?James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Walikwenda wengi mwanzoni wakapigwa sana na polisi, hadi ikabidi kesi ionyeshwe online na kwenye TV. Team Mbowe njooni na hoja nyingine, vinginevyo huko Chauma mtakuwa mmeenda kuchekeshana.Wakiwa watu wengi ndani na nje ya Mahakama wanamtia moyo mshitakiwa na inawaonyesha waliomshitaki kuwa watu wana imani nae.
Amandla...
Na nyie mashujaa mkaamua kukaa nyumbani kuangalia proceedings online? Yote kwa kuhofia kupigwa. Hamjui kuwa silaha kubwa aliyokuwa nayo mnyonge ni physical presence? Uwepo wa watu mahakamani (hasa kama imeizuiwa) unatuma ujumbe tofauti na kila mmoja wenu kufuatilia yanayoendelea kwenye simu. Kuwaambia mkae nyumbani mfuatilie mtandaoni kumewanyang'anya silaha muhimu. Na nyie mnafurahia!Walikwenda wengi mwanzoni wakapigwa sana na polisi, hadi ikabidi kesi ionyeshwe online na kwenye TV. Team Mbowe njooni na hoja nyingine, vinginevyo huko Chauma mtakuwa mmeenda kuchekeshana.
Amewasema Chadema, sio Lissu peke yake.Katika Hotuba yake ya kujisajili Chadema Mh James Mbowe ametumia muda wake mwingi sana kumsema Tundu Lisu binafsi
Kuna ugomvi gani jamani?
Rip Shujaa Magufuli
Rip Job Ndugai
Huyu naye ni mpumbavu kama baba yake mdogo. Huwezi kulinganisha baba yako mdogo na Lissu. Kwani Mbowe baba mdogo wako hakushindwa na Lissu vibaya sana???????James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Nafikiri huwa unasema bila tafakuri. Hivi waingereza waliingiaje Tanganyika? Kwa taarifa yako Tanganyika haikuwa koloni la Uingereza kwa sheria za League of Nation. Uingereza ilikabidhiwa Tanganyika baada ya Ujerumani kushindwa kwenye vita ya kwanza 1919. Hivyo Uingereza ilikuwa kama muangalizi wa Tanganyika mpaka tutakapoweza kujitawala.James Mbowe ambaye ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), anasema pamoja na CHADEMA kukubalika kwa wananchi lakini hata watu 300 hawafiki mahakamani kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu.
Wamkumbushe pia kuwa nyomi lilikuwa likienda mahakamani mwanzoni, ila polisi wakawa wanaleta upumbavu wa kupiga watu, pia akumbushwe hata kesi ya ugaidi ya baba yake ( Freeman Mbowe ),hiyo idadi ya watu 300 ilikuwa haifiki na hapo polisi walikuwa fair kipindi hicho. Hao jamaa ni wachumia tumbo.Anamaanisha nn, kwamba watu wengi kutokwenda mahakamani ni kwamba hawamuungi mkono lissu?
Hebu mkumbusheni, hakuiona nyomi mikutano ya lissu kabla akamatwe...hadi ccm wakaingia kiwewe na kuanza kuifanyia CHADEMA fitna kibao hadi leo.
Ile mikutano isingekuwa na impact ma ccm hadi leo ungekuta hawaangaiki na CHADEMA!