James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za Wachaga

View attachment 3202818

Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.
Lema asaidiane na mchaga mwenzie Mbowe wailinde saccos yao ya chagadema.

Lema alionya jana, machawa wa Mbowe wakiendelea kumchokoza ataita press nyingine tena ya kumfyatua Mbowe. Ana siraha nyingine nzito dhidi ya Mbowe ametunza, anasubiri vidomo domo waropoke afyatue makombora.
 
View attachment 3202818

Je, tabia za Wachaga zipoje? Aliyemuelewa James anisaidie.
Sasa ulitegemea asemeje?

Kwamba amuunge mkono mtu anayetaka kunyang'anya fupa la babake?

Utasikia mara ohh 'hizo siyo tamaduni zetu, chama chetu kina taratibu zake'.

Ukiuliza tamaduni zenu alizozikiuka Lema ni zipi, hauwezi kupata jibu, kwa sababu anayetoa hiyo statement, naye hapo alipo, tamaduni ama taratibu zilizokiukwa ambazo hutakiwa kufuatwa anakuwa hazijui.
 
Kwani huyu jamaa mbowe ni baba yake mzazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…