Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Mimi mtaa ninaoishi kuna wachagga kadhaa lakini upenda kujikusanya kwenye grocery ya mchagga mwenzio ukikuta jinsi wanavyojisifu hadi aibu! Wanajiona wao ndo wao wakati wengine tunawaona wa kawaidaMimi ni mchaga ila hamna nisicho penda kama ubinafsi wa wachaga!i