Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 878
- 1,511
Itakuwa kweli wachagga wanatabia flani hivi ambazo baadhi Yao huziona kama desturi yao, Nina boss wangu ni mchagga kashawahi kunimbia kazi zake hataki wachaga, sikutaka kumuuliza kwa Nini lkn nilitafakali sana isitoshe jamaa ni mtu mzima hiyo kauli hakuitoa Bure Bure. But wachaga wengi wao ni watu poa sana maana Mimi kwenye sekta niliyopo nafanya nao kazi sanaa
Sasa ukiona mpaka lema kamkataa mbowe basi jua Kuna mengi sana ya mbowe anayoyajua. Lema amekataa kufuata tabia za baadhi ya wachagga kama huyo James anavyolalamika
Sasa ukiona mpaka lema kamkataa mbowe basi jua Kuna mengi sana ya mbowe anayoyajua. Lema amekataa kufuata tabia za baadhi ya wachagga kama huyo James anavyolalamika