James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.

Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.

“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.

Na yeye anategemea kuchukua fomu 2030 kupitia chauma ameambiwa aonekane kwenye matukio muhimu.
 
anataka kujijenga kisiasa
 
Mkitaka tuache kushangilia vifo vya hao jamaa.
Tuambieni kwanza Ben saa 8 yupo wapi, Azory Gwanda yupo wapo, Mdude yupo wapi, nani kamuua Mzee KIBAO n.k

Mkitupa majibu ugomvi utaisha.
Vinginevyo ni Mwendo wa Oyooooooo tu
 
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.

Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.

“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.

Atuelekeze ni Mungu au mungu.
Matapeli yeye na babake
 
Mbowe amesisitiza kuwa jambo hilo jipya lisipuuzwe, bali likemewe mapema ili kulinda heshima na mshikamano wa kitaifa.

Kifo ni Kifo..
Chacha Wange alipokufa. mdingi wake mbona alifurahia na ku party

Kwanza yeye nani hadi aingilie hili swala la watu kufurahi mtu anapo dondoka.. ?

Hajui kuwa kufa ni sherehe.. ?
 
Na wewe CCM watavyokushughulikia October tutashangila vibaya mnoo.
Mfe tu,wajinga wakubwa.
 
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.

Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.

“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.

Mbowe amesisitiza kuwa jambo hilo jipya lisipuuzwe, bali likemewe mapema ili kulinda heshima na mshikamano wa kitaifa.

Yuko sahihi
 
Wanahitaji maombi sana. uslnashangilie kifo cha binadamu mwenzako and familia yake unafikiria wanapitia kipindi kigumu kiasi gani bado kuwaongezea hicho kitendo cha wengine kufurahia sio kitendo cha kibinadamu hata kidogo. Wakati unafanya jambo lazima uangalie hili jambo kitamuathiri mwenzangu kiasi gani.
 
Back
Top Bottom