Hata mazishini hakwendaBaba ako Mbowe alimrudia Mungu maana alishangilia kifo cha Magufuli.
Wanaongozwa na Lema aisee.Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.
“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.
Hivi mdude ndo kapotea kama upepoMkitaka tuache kushangilia vifo vya hao jamaa.
Tuambieni kwanza Ben saa 8 yupo wapi,azory gwanda yupo wapo ,mdude yupo wapi ,nani kamuua Mzee KIBAO n.k
Mkitupa majibu ugomvi utaisha.
Vinginevyo ni Mwendo wa Oyooooooo tu
MAwazo yake yamepokelewa ila yamekataliwa.Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.
“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.
Lema anakuumiza sana kichwa, he lives rent free in your heartWanaongozwa na Lema aisee.
Yaani!Damu yake watailipa tu.Hivi mdude ndo kapotea kama upepo