Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Babu alikuwa anapenda sana kuniambia panua moyo usipanue mkyundu lakini kwa kisukumaAnajaribu kusafisha njia ya Mwamba siku yakimkuta.
Siku zote nasema ongozeni Mioyo na si Miili
Atuelekeze ni Mungu au mungu.Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.
“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.
Yuko sahihiKada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa.
Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job Yustino Ndugai, katika eneo la Njedengwa, Jijini Dodoma, Mbowe amesema tabia hiyo si sehemu ya utamaduni wa taifa na inavunja mshikamano wa kijamii.
“Si kazi ya wanadamu kuhukumu. Sio utamaduni wetu Watanzania. Kuna watu wanafikiri kufa ni kwa sababu mtu ametenda dhambi, jambo ambalo si sahihi. Hata kama kuna maamuzi aliyowahi kufanya hayakuwafurahisha baadhi ya watu, leo hayupo na amemaliza safari yake,” alisema Mbowe.
Mbowe amesisitiza kuwa jambo hilo jipya lisipuuzwe, bali likemewe mapema ili kulinda heshima na mshikamano wa kitaifa.