Huu ndiyo ukweli, walimfanya mbuzi wa kafara ili kupunguza kelele.Tibaijuka aliwajibishwa kwa sababu mtumishi wa umma hasa kwenye ngazi ya uwaziri anayehusika katika kumshauri Rais, kutunga sera na kufanya maamuzi makubwa kuna taratibu zake za kupokea na kuripoti zawadi kutoka kwa watu/mashirika/kampuni binafsi ili kuondoa migongano ya maslahi.
Tibaijuka hakuwajibishwa kwa sababu amehusika na wizi bali kwa sababu ya taswira mbaya ya kisiasa, na pia alifanywa kama mbuzi wa kafara tu kwa ajili ya kuzuia kelele zisiendelee.
Wezi kwenye hii issue ni wale waliosaini mikataba(political elites) hivyo hapo mwizi halisi hajawahi kukamatwa.Hiyo haihalalishi mwizi aliekamatwa kuachiwa na nyie kushangilia
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]wakati wa sakata maarufu kama escrow ambalo liliwapatia hawa ndugu zetu mabilioni..kulikuwa na pande mbili zikibishana.
upande wa kwa kwanza ulikuwa wa serikali ukiongozwa na aliyekuwa kiongozi mkuu wa serikali waliosema "hiyo pesa siyo ya umma"
upande wa pili ulikuwa wa wabunge wengi wa kipindi hicho wakati Bunge likiwa bado Bunge la wananchi likiongozwa na mama semamba na baadhi ya viongozi wa serikali...hawa walisema " pesa hizo ni za umma"
mabishano hayo yaliendelea kwa kipindi kirefu sana..hata hivo waliokuwa wanasema pesa si ya umma walikuwa wanaongoza serikali,basi watuhumiwa hawakufanywa kitu chochote
Baada ya muda,baadhi ya waliokuwa wanaamini kuwa pesa ile ni ya umma,wakashika madaraka 2015, wakawatia ndani watuhumiwa kutokana na imani waliyokuwa nayo kuwa pesa ni ya umma
kwa bahati nzuri kwa watuhumiwa,baadhi ya wale walioamini kuwa pesa ni ya umma, hawapo tena madarakani, madaraka yamerudi kwa wale walioamini kuwa pesa si ya umma,hapo lazima huyo DPP aagizwe asiendelee na kesi.
tusubiri watakapoingia madarakani wale wa imani ile nyingine,labda DPP ataagizwa tena aone sababu ya kuendelea na kesi
Lakini hata hivo mjadala unapaswa kuanza tena kuwa ile pesa ilikuwa ya umma au siyo ya umma, na wala siyo kuimba wimbo wa DPP ambao tunaamini ameagizwa aimbe walau kwa sasa
Wewe kilaza, Zitto, Kafulila, Lissu na CAG ndio waliomuambia DPP awakamate Sethi na Ruge? Mbona basi hawakukamatwa enzi za JK wakaja kukamatwa na kuwekwa gerezani bila hukumu enzi za utawala wa giza wa jiwe?
Kwa hiyo jiwe na utawala wake walikubali huo uongo wao kwa makusudi au hawakuwa na uwezo wa kuchuja uongo na ukweli upi?Walichofanya Zitto, Lissu, Kafulila, CAG, wanaharakati na media ni kutengeneza mtazamo wa mahakama ya jamii kwa kuwalisha uongo ili ionekane kuna ubadhirifu.
Kwanini hakina Rugemalila awakukamtwa zama za JK?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. JK alikubali kutukanwa wakati last ule na mpaka leo kwa sababu ya facts hela zilizokuwa kwenye account ya escrow zilikuwa za IPTL sio za serikali.
Nani anamiliki IPTL ule ulikuwa ni mzozo wa wabia (private it had nothing to with the government).
Ndio maana ata mahakama ilipoamua kuwatambua shareholders wa IPTL yaani VIP merchants na PAP; iliweka na conditions kwenye awards hakija mtu mwingine kudai hela ya IPTL hao wabia wawili ndio watahusika kujibu na PAP alikubali.
Mtu kama Zitto yeye alikuwa anawatumikia Standard Charter HK kama wabia (story ni ndefu) kwa kifupi Zitto is comprised na mzozo wa IPTL ni issue ya wabia it had nothing to with the government.
Napata shida sana how thick does a person has to be grasp this matter kwamba ile hela sio ya serikali.
Magufuli ni mtu ambae akuingilia mahakama kabisa tofauti na mnavyomsingizia.Kwa hiyo jiwe na utawala wake walikubali huo uongo wao kwa makusudi au hawakuwa na uwezo wa kuchuja uongo na ukweli upi?
DPP sio sehemu ya mahakama bali ni sehemu ya serikali, Ruge na Sethi hawakuwekwa magereza miaka minne na mahakama bali serikali kupitia DPP na wangeweza kuachalikiwa wakati wowote kama DPP 'angejisikia'.Magufuli ni mtu ambae akuingilia mahakama kabisa tofauti na mnavyomsingizia.
Yes anaweza kuwa aliagiza washikwe kwa sababu ya social presssure iliyotengenezwa na uongo wa Zitto, Lissu, Kafulila, CAG, wanaharakati na media.
Lakini baada ya muda kuona ni upuuzi naweza kukuletea clips kibao hapa akimuagiza DPP kuwaachia watu waliowashikilia kwa muda mrefu kama hawana ushahidi.
Mmeamua tu kumtukana na kumsingizia hayati; Lakini ukweli ni kwamba uwepo wa Rugemalila jela ni kwa sababu ya DPP sio Magufuli.
Unakubali kabisa 'Yes anaweza kuwa aliagiza washikwe' kwa sababu ya social pressure halafu ukigeuka upande wa pili utasema alikuwa na msimamo sana!Magufuli ni mtu ambae akuingilia mahakama kabisa tofauti na mnavyomsingizia.
Yes anaweza kuwa aliagiza washikwe kwa sababu ya social presssure iliyotengenezwa na uongo wa Zitto, Lissu, Kafulila, CAG, wanaharakati na media.
Lakini baada ya muda kuona ni upuuzi naweza kukuletea clips kibao hapa akimuagiza DPP kuwaachia watu waliowashikilia kwa muda mrefu kama hawana ushahidi.
Mmeamua tu kumtukana na kumsingizia hayati; Lakini ukweli ni kwamba uwepo wa Rugemalila jela ni kwa sababu ya DPP sio Magufuli.
It’s a split DPP ni sehemu ya serikali but it’s functions are judiciary usually kuna sheria ya ili serikali isi influences decision zake.DPP sio sehemu ya mahakama bali ni sehemu ya serikali, Ruge na Sethi hawakuwekwa magereza miaka minne na mahakama bali serikali kupitia DPP na wangeweza kuachalikiwa wakati wowote kama DPP 'angejisikia'.
Of course Magufuli was decisive.Unakubali kabisa 'Yes anaweza kuwa aliagiza washikwe' kwa sababu ya social pressure halafu ukigeuka upande wa pili utasema alikuwa na msimamo sana!
Haya ni matatizo ya kuongozwa na 'Populist' na ndiye tatizo kubwa la nchi yetu, wanasiasa kuwa na uwezo wa kuamuru watu kukamatwa hovyo, lazima tupata katiba ambayo itakomesha huu uhuni wa wanasiasa kuwa na uwezo kuamuru polisi nani wamkamate na nani wamuachie.
Pathetic.It’s a split DPP ni sehemu ya serikali but it’s functions are judiciary usually kuna sheria ya ili serikali isi influences decision zake.
Either way Magufuli had nothing to uwepo wa Rugemalila jela; wakulaumu ni Zitto, Lissu, CAG, wanaharakati na media.
Sasa unataka kusema Magufuli ndio anaendesha kesi ama?Pathetic. View attachment 1945811
Mbona watu walipinga Chato Airport kujengwa na akaijenga?Of course Magufuli was decisive.
Yeye alifanya mliyotaka Rugemalila ashitakiwe DPP akashindwa.
Sasa yeye kosa liko wapi hapo, na mara kadhaa aliagiza DPP kama ngoma ngumu waachie hao watu.
Bado tunazungumzia nani mchawi wa Rugemalira au umeamua kumzushia legendary uongo mwingine.Mbona watu walipinga Chato Airport kujengwa na akaijenga?
Mbona watu walitaka amfukuze Bashite na hamkufukuza, zaidi sana akasema yeye hapangiwi?
Huelewei hata unachotetea wewe.
Waambie sasa mataga wenzako wanaolalamika na kupiga mayowe hawa watu na wengineo kuachiwa wakati huu ni Kwa sababu ya Lissu, Zitto, CAG, media na wanaharakati na sio kwa sababu jiwe hayupo tena.It’s a split DPP ni sehemu ya serikali but it’s functions are judiciary usually kuna sheria ya ili serikali isi influences decision zake.
Either way Magufuli had nothing to uwepo wa Rugemalila jela; wakulaumu ni Zitto, Lissu, CAG, wanaharakati na media.
Sasa Magufuli anahusika vipi si ni Zitto and Company ndio waliomwita mzee watu fisadi na kutaka achukuliwe hatua.Waambie sasa mataga wenzako wanaolalamika na kupiga mayowe hawa watu na wengineo kuachiwa wakati huu ni Kwa sababu ya Lissu, Zitto, CAG, media na wanaharakati na sio kwa sababu jiwe hayupo tena.
Hakuna aliyekuwa na uwezo wa kupinga utashi wa Jiwe, kama watu waliuawa, walishambuliwa kwa silaha za moto, watu walipotea na vyombo vya dola viliogopa kuchunguza kwa kuwa walijua ni directives kutoka kwa mkulu DPP angethubutu wapi kukinzana naye.Sasa unataka kusema Magufuli ndio anaendesha kesi ama?
Wakati mara kadhaa alikuwa akimuagiza DPP kufuta kesi ambazo hazina ushahidi wakutosha.
Au we mwenzetu ulikuwa kuziwi usikii.