Haishi tanzania Sinclair...anaisha canada....ana mashine ambao wa kitaalamu inatwa Rig..inachimba...
Mind you Rig moja sio mchezo ni zadi ya milioni 150..ndio maana kuna makampuni yako kwa ajiri ya kuchimba tu..ukienda maeneo ya kanda ya ziwa uzijua sana...
Mgodi waochimba Barrick kwa sasa ambao ulikuwa ni chini ya sinclair..ni Bulyanhulu...yeye ndio alikuwa wa kwanza kufanya utafiti pale ana akaona kuna dhahabu...kwa kuwa hakuwa na mining lease..leseni ya uchimbaji kwa wakati huo...akauza ndio kupata mipesa yote hiyo.Kuna tofauti kati ya leseni ya kutafiti na kuchimba...Exploration na Mining.Kwa sasa yeye anazote...ingawa hana mpango wa kuchimba.
Na hizi pesa wanazipataje ni wanajuisha gharama zote za kuanzia grass root exploration mpaka development..kwa hiyo ni pesa nyingi sana...ambazo wanawezeka bila kuwa na uhakika wa kupata faida baadae
Ndio maana hata serikari na watanzania wanashidwa kufanya wenyewe...kwa kuwa wenzetu wanakuja na pesa ambazo zinatoka kwenye ma bank ya kwao uko ambao yanafanya probability kali sana...ambao ikizaa ndio wanatokea hapo.
Ambazo bank za tanzania haziwezifanya hiyo biashara...Hizo company alizi zi list ni mbili i think Tanzam2000 and tancan.Tanzam company mama ya Tancan. Tanzania royalty ndio kama paa ya zote hizo kwenye Canadian stock exchange.
Good day
Naomba kwanza tuelewana, sinclair ni mchimbaji au si mchimbaji? From my research sijawai sikia hata siku moja kwamba sinclair ni mchimbaji.Kama utapenda unaweza kwenye CSE ukaangalia Financial statements za kampuni yake na kwenye Balance sheet hebu tazama PPE kama utona any equipments ya uchimbaji. Sinclair hana idea ya kuchimba madini, yeye ni trader wa commodities and currencies (
http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/s/Management.asp) Huyu jamaa hajawai kuwa na experience yoyote ya kutisha zaidi ya kuwa member kwenye board ya kampuni mmoja inayo trade kwenye NYSE. Remember being a member means you do have shares on that particular company and nothing special.
The company website says clear kabisa kwamba walicho nacho wao ni Intellectual Property (IP) right. Here is their business strategy:
Tanzanian Royalty Exploration (T.TNX, AMEX.TRE) is a unique, publicly-traded financial gold company whose business strategy is to acquire royalty interests in gold production from its core assets in the Lake Victoria greenstone belt (LVGB) of Tanzania where a reported 40 million ounces of gold have been discovered since the mid-1990's.
They just acquire royalty, in simple kiswahili ni kwamba wana haki ya kupata asilimia fulani ya faida ya kampuni itakayo kodi ardhi hiyo kwa kuchimba madini. Again i wan clear facts here, these company doesn't dig mineral from the ground. Kwa kiswahili cha kawaida ni kwamba SINCLAIR ni dalali.
Na hizi pesa wanazipataje ni wanajuisha gharama zote za kuanzia grass root exploration mpaka development..kwa hiyo ni pesa nyingi sana...ambazo wanawezeka bila kuwa na uhakika wa kupata faida baadae
Mkuu let me explain kitu kimoja, i have experience kwenye Capital budgeting, hakuna Investor ambae anatoka North America au Europe akaja Africa kuinvest pasipo kufahamu what will be the return. Kabla ya project kuwa funded there are several things lazima zifanyike, Lazima waangalie kama Outlay (pesa itako kuwa invest) na Inlay lini zita brake even. Kama zita brake even more than two three years most of these investors wana demand more return sababu ya Political Risk involved in third world. So, there is no such a thing kwamba hawana uhakika kwamba watapa faida. They know exacly kwamba NPV au IRR za hizi investment ni abnormal.
Bank za foreign hazifanani na Tanzania that is true sababu Sinclair hawezi kuqualify kupewa loan kwa ajili ya kuchimba madini, that is because he doesnt have experience on that particular sector. Na ili kuonyesha kwamba hata wacanada wenzie hawana imani nae ni kwa kuangalia trend ya stoct ya kampuni yake.
Huyu jamaa ni tapeli na JK ndio anampigia debe. This guy doesnt have qualifications even to be a board of director wa Korosho.
Kuna kitu kimoja hawa raia wa North America au EU wanakileta Investment zao kwenye developing countries ni kudanganya kuhusu the whole stock market. Tan 200 number of shares outstanding is 87,159,708, however they didn't explain how many of these shares are own by public and how many are own by insiders.
The article of Aprial 4 by Bloomberg news (one of the potential source for investors) explain about the scams of Tan 2000. Six days later sinclair clerify some of the accusations. Hii kampuni haina hata fixed asset ambazo unaweza kusema utazitumia kuangalia Book Value ya kampuni, au kusema utaweza kurun ili utazame ROA. It's the company which doesn't have asset lather wanatumia our own land to claim as there fixed asset.
http://finance.yahoo.com/q/bs?s=TRE
Mkuu Buswelu nakuomba ufanye more homework kuhusu huyu jamaa Sinclair, nilimuomba Mh. Zitto kwenda Bungeni na kuomba special tume ya kutazama the taxation system kwa hizi royality kampani sababu they diserv massive double taxations. We need to tax companies which exprote madini, and then taxes Sinclair shares. At least tax braket should be 35%.