James Sinclair: A Friend or Foe?

James Sinclair: A Friend or Foe?

The best option ni kuwa na **************.

Taratibu mjomba mambo ya "******" hayo utayaweza? Hiyo ni kujitafutia shari ya bure. Hiyo kauli yako hapo juu ni tosha kabisa kukukamata na kukusweka Keko miaka lukuki hadi ufie mbali kwa ukimwi! Ulizaga: walishindwa watu kama ***********************na wengineo wengi. Jiulize wote wako wapi leo hii?
 
Last edited by a moderator:
Naongelea watu wachache ndani ya ******* wenye uchungu na nchi. Au watu ambao sio ********* lakini wanaunda kikundi chao cha ****(commonly known as "****" groups) na kuanza****************. Tumeona mifano kule DRC na kwingine.

Kwa nini utoe kauli nzito kama hii isiyohusiana kabisa na mada wakati unaweza kuanzisha mada yako? Kama kweli wewe jasiri nashauri uanzishe mada maalum kuhusu mawazo yako kama hayo watu wachangie badala ya kuyaficha kwenye topiki isiyoendana.
 
Last edited by a moderator:
JF haitatumika kupanga, kutetea, au namna yoyote ile kuwa platform ya watu wanaotaka kuondoa serikali madarakani kwa kutumia nguvu. Mawazo ya ************ni mawazo ya hatari, nayapinga kwa kauli nzito inayowezekana (strongest term possible) na hayana sehemu katika JF. Yeyote anayefikiri matumizi ya ********** yanatakikana namshauri atafute tovuti yake apange na anaotaka kupanga nao lakini asiihusishe JF katika mipango hiyo kwa namna yoyote ile.
 
Last edited by a moderator:
Thanks mzee Mwanakijiji
 
Je Watanzania wangapi wanahisa kwenye hiyo kampuni? Je iko traded hapo Dar.. au nasisi huku tuanze kununua hisa...

Wafanyazi wake wote wenye rank ya senior Geologist,Administration manager,Asst.Admin manager,Account,GIS techinician,Botanist, etc anawapa hisa baada ya mwaka mmoja wa kufanya kazi then baada ya hapo unaweza kuendelea kununua...ukiamua kuacha kazi unaziuza,

Most wa wafanyakazi wake walioko mwanza office ambako ndio control ya mineral license zote katika LVGB(Technical office)wana hisa hapo.

Joseph Kahama son of kahama ndio anayeshugulika na renewal za mineral licence.Huyu bwana mnamfahamu...kwa sasa ni mshauri wa wizara ya madini kuhusu madini..na ni mshauri wa chama la wawekezaji toka chini.ambako alikuwa akikaa china kwa miaka mingi sana ambapo babaye alikuwa balozi.

Regards
 
tena inamiliki milele, yaani serikali haiwezi kujitoa bila kupata adhabu kali!!!

Company hii inamiliki in terms of mineral exploration yaani hakuna company nyingine inaweza kuja chimba/tafiti dhahabu hapo au madini mengine bila kuonana na company hiyo.Fata link hii

http://books.google.com.gh/books?id...WiLPojb&sig=HjcjxDjHjQPP8LZECzeIm-oFhBw&hl=en

Hi ina maana katika kumiliki mineral license kuna fee wanalipa kila mwaka ambayo kwa miaka mitatu ya kwanza unalipa 20USD per squre kilomita.
Baada ya hapo unalipa 30USD per sq km,miaka mitano mingine 50 per sq kilomita.

Inakuwaje..ukiwa na hii license kila miezi mitatu unaandika qtr report ya kuonyesha nini umefanya kwenye eneo hilo...kwa hiyo kwa mwaka unaandika mara nne..na kuna annual report.

Katika report zako au usipo andika kwa mara mbili madini dodoma wana haki ya kuigawa ardhi hiyo kwa mwingine mwenye interest ya kufanya utafiti.

So huyu jamaa kumiliki inawezekana kabisa anawatu wake ambao wana keep eye ni lini zina expire na kuhakikisha wanalipa ada kila mara.

Good day
 
Kwanza huyu sinclair anaishi Tanzania kama nani? yaani ana status gani katika swala zima la uhamiaji?
Huyu jamaa anamiliki viwanja vingi sana vya madini, jee kwa nini hakuna limit ya ownership ya hivi viwanja? JK alishawai kumuita huyu jamaa dear friend, jee JK bado ana declare kwamba Sinclair ni dear friend au dear enemy?

Huyu jamaa ametengeneza million za dollar for nothing, i mean NOTHING. Hana machine ya kuchimba wala kuchunguza, ana vikampuni mbuzi vyake alivyo vilistist kwenye canadian stock exchange ( CSE haina strong rules za kujiandikisha kama NYSE au NIKKEI), so anachofanya ni kuwatisha Watanzania kwamba kampuni zangu zina trade public, honest Canadian stock exchange is not a milestone index kwenye investement world. Anachofanya Sinclair ni kuanganisha kati ya mtafiti/mchimbaji na kiwanja, na nimepata data kwamba siku hizi hauzi tena bali anaingia partnership na mchimbaji. Jee serikali inacontrol vipi Taxation katika massive profit anayopata sinclair?

Kumbuka ya kwamba aliwekeza dolla 200(kulipia licence) kwenye mgodi ambao Barrick wanachimba sasa na alipata more than million 200 kwa ajiri ya kuonyesha tuu kwamba pale pana dhahabu. Jee serikali ili tax asilimia ngapi? Jee JK anafahamu kwamba Dear friend wake ana produce wealth for nothing ndani ya Tanzania?
 
Kwanza huyu sinclair anaishi Tanzania kama nani? yaani ana status gani katika swala zima la uhamiaji?
Huyu jamaa ametengeneza million za dollar for nothing, i mean NOTHING. Hana machine ya kuchimba wala kuchunguza, ana vikampuni mbuzi vyake alivyo vilistist kwenye canadian stock exchange

Kumbuka ya kwamba aliwekeza dolla 200(kulipia licence) kwenye mgodi ambao Barrick wanachimba sasa na alipata more than million 200 kwa ajiri ya kuonyesha tuu kwamba pale pana dhahabu. Jee serikali ili tax asilimia ngapi? Jee JK anafahamu kwamba Dear friend wake ana produce wealth for nothing ndani ya Tanzania?

Haishi tanzania Sinclair...anaisha canada....ana mashine ambao wa kitaalamu inatwa Rig..inachimba...
Mind you Rig moja sio mchezo ni zadi ya milioni 150..ndio maana kuna makampuni yako kwa ajiri ya kuchimba tu..ukienda maeneo ya kanda ya ziwa uzijua sana...

Mgodi waochimba Barrick kwa sasa ambao ulikuwa ni chini ya sinclair..ni Bulyanhulu...yeye ndio alikuwa wa kwanza kufanya utafiti pale ana akaona kuna dhahabu...kwa kuwa hakuwa na mining lease..leseni ya uchimbaji kwa wakati huo...akauza ndio kupata mipesa yote hiyo.Kuna tofauti kati ya leseni ya kutafiti na kuchimba...Exploration na Mining.Kwa sasa yeye anazote...ingawa hana mpango wa kuchimba.

Na hizi pesa wanazipataje ni wanajuisha gharama zote za kuanzia grass root exploration mpaka development..kwa hiyo ni pesa nyingi sana...ambazo wanawezeka bila kuwa na uhakika wa kupata faida baadae.

Ndio maana hata serikari na watanzania wanashidwa kufanya wenyewe...kwa kuwa wenzetu wanakuja na pesa ambazo zinatoka kwenye ma bank ya kwao uko ambao yanafanya probability kali sana...ambao ikizaa ndio wanatokea hapo.

Ambazo bank za tanzania haziwezifanya hiyo biashara...Hizo company alizi zi list ni mbili i think Tanzam2000 and tancan.Tanzam company mama ya Tancan. Tanzania royalty ndio kama paa ya zote hizo kwenye Canadian stock exchange.

Good day
 
JF haitatumika kupanga, kutetea, au namna yoyote ile kuwa platform ya watu wanaotaka kuondoa serikali madarakani kwa kutumia nguvu. Mawazo ya ************ni mawazo ya hatari, nayapinga kwa kauli nzito inayowezekana (strongest term possible) na hayana sehemu katika JF. Yeyote anayefikiri matumizi ya ********** yanatakikana namshauri atafute tovuti yake apange na anaotaka kupanga nao lakini asiihusishe JF katika mipango hiyo kwa namna yoyote ile.

Acha uoga wewe kijana sasa bila watu kufanya hivyo unategemea nani wa kutukomboa dhidi ya hawa wakoloni weusi
 
Mwanasiasa, lengo ni kuwa kama hawa wageni wanaweza kununua hisa na kugawiana faida kila mwaka wakati nchi si ya kwao.. kwanini nasisi tusijiunge na kufurahia matunda ya nchi yetu? Nafikiri kwanza itawashitua sana kama baada ya kama mwezi mmoja Watanzania wa kawaida wananunua hisa na kama tukiwa wengi (kiidadi au kihisa) unakuwa na block kwenye kikao cha wanahisa and you can have a very strong influence!! Just think about it.. hata tukiweza kununua hisa za asilimia 2 tu (kwa mfano kupitia ile kampuni ya uwekezaji ya Tanzania - nimesahau jina lake)....

Heshima Mkjj,
Hiyo kampuni inaitwa NICO. Mwenyekiti wake ni Mzee Felix Mosha. Hivi karibuni imefanya tena Public Offer. Mkija na wazo kama hili Kwa kweli Mzee Mosha atawapokea kwa mikono miwili. Mimi pia niko tayari kuwaunganisha na Mzee huyu.
 
Nimefurahishwa sana na assessment yako. Mimi naona CCM haitobadili chochote ndani ya nchi hii. Zitaundwa kamati mpaka 2010 lakini hakuna kitakacho endelea. Barrick hao walimzawadia BWM mche wa gold alipokwenda Bulyhanhulu. Kikwete inasadikika kila mwsho wa mwaka anapatiwa fedha na Barrick za kujikimu dola laki kadhaa.
 
Haishi tanzania Sinclair...anaisha canada....ana mashine ambao wa kitaalamu inatwa Rig..inachimba...
Mind you Rig moja sio mchezo ni zadi ya milioni 150..ndio maana kuna makampuni yako kwa ajiri ya kuchimba tu..ukienda maeneo ya kanda ya ziwa uzijua sana...

Mgodi waochimba Barrick kwa sasa ambao ulikuwa ni chini ya sinclair..ni Bulyanhulu...yeye ndio alikuwa wa kwanza kufanya utafiti pale ana akaona kuna dhahabu...kwa kuwa hakuwa na mining lease..leseni ya uchimbaji kwa wakati huo...akauza ndio kupata mipesa yote hiyo.Kuna tofauti kati ya leseni ya kutafiti na kuchimba...Exploration na Mining.Kwa sasa yeye anazote...ingawa hana mpango wa kuchimba.

Na hizi pesa wanazipataje ni wanajuisha gharama zote za kuanzia grass root exploration mpaka development..kwa hiyo ni pesa nyingi sana...ambazo wanawezeka bila kuwa na uhakika wa kupata faida baadae

Ndio maana hata serikari na watanzania wanashidwa kufanya wenyewe...kwa kuwa wenzetu wanakuja na pesa ambazo zinatoka kwenye ma bank ya kwao uko ambao yanafanya probability kali sana...ambao ikizaa ndio wanatokea hapo.

Ambazo bank za tanzania haziwezifanya hiyo biashara...Hizo company alizi zi list ni mbili i think Tanzam2000 and tancan.Tanzam company mama ya Tancan. Tanzania royalty ndio kama paa ya zote hizo kwenye Canadian stock exchange.

Good day

Naomba kwanza tuelewana, sinclair ni mchimbaji au si mchimbaji? From my research sijawai sikia hata siku moja kwamba sinclair ni mchimbaji.Kama utapenda unaweza kwenye CSE ukaangalia Financial statements za kampuni yake na kwenye Balance sheet hebu tazama PPE kama utona any equipments ya uchimbaji. Sinclair hana idea ya kuchimba madini, yeye ni trader wa commodities and currencies ( http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/s/Management.asp) Huyu jamaa hajawai kuwa na experience yoyote ya kutisha zaidi ya kuwa member kwenye board ya kampuni mmoja inayo trade kwenye NYSE. Remember being a member means you do have shares on that particular company and nothing special.

The company website says clear kabisa kwamba walicho nacho wao ni Intellectual Property (IP) right. Here is their business strategy:
Tanzanian Royalty Exploration (T.TNX, AMEX.TRE) is a unique, publicly-traded financial gold company whose business strategy is to acquire royalty interests in gold production from its core assets in the Lake Victoria greenstone belt (LVGB) of Tanzania where a reported 40 million ounces of gold have been discovered since the mid-1990's.

They just acquire royalty, in simple kiswahili ni kwamba wana haki ya kupata asilimia fulani ya faida ya kampuni itakayo kodi ardhi hiyo kwa kuchimba madini. Again i wan clear facts here, these company doesn't dig mineral from the ground. Kwa kiswahili cha kawaida ni kwamba SINCLAIR ni dalali.

Na hizi pesa wanazipataje ni wanajuisha gharama zote za kuanzia grass root exploration mpaka development..kwa hiyo ni pesa nyingi sana...ambazo wanawezeka bila kuwa na uhakika wa kupata faida baadae

Mkuu let me explain kitu kimoja, i have experience kwenye Capital budgeting, hakuna Investor ambae anatoka North America au Europe akaja Africa kuinvest pasipo kufahamu what will be the return. Kabla ya project kuwa funded there are several things lazima zifanyike, Lazima waangalie kama Outlay (pesa itako kuwa invest) na Inlay lini zita brake even. Kama zita brake even more than two three years most of these investors wana demand more return sababu ya Political Risk involved in third world. So, there is no such a thing kwamba hawana uhakika kwamba watapa faida. They know exacly kwamba NPV au IRR za hizi investment ni abnormal.

Bank za foreign hazifanani na Tanzania that is true sababu Sinclair hawezi kuqualify kupewa loan kwa ajili ya kuchimba madini, that is because he doesnt have experience on that particular sector. Na ili kuonyesha kwamba hata wacanada wenzie hawana imani nae ni kwa kuangalia trend ya stoct ya kampuni yake.

Huyu jamaa ni tapeli na JK ndio anampigia debe. This guy doesnt have qualifications even to be a board of director wa Korosho.

Kuna kitu kimoja hawa raia wa North America au EU wanakileta Investment zao kwenye developing countries ni kudanganya kuhusu the whole stock market. Tan 200 number of shares outstanding is 87,159,708, however they didn't explain how many of these shares are own by public and how many are own by insiders.

The article of Aprial 4 by Bloomberg news (one of the potential source for investors) explain about the scams of Tan 2000. Six days later sinclair clerify some of the accusations. Hii kampuni haina hata fixed asset ambazo unaweza kusema utazitumia kuangalia Book Value ya kampuni, au kusema utaweza kurun ili utazame ROA. It's the company which doesn't have asset lather wanatumia our own land to claim as there fixed asset. http://finance.yahoo.com/q/bs?s=TRE

Mkuu Buswelu nakuomba ufanye more homework kuhusu huyu jamaa Sinclair, nilimuomba Mh. Zitto kwenda Bungeni na kuomba special tume ya kutazama the taxation system kwa hizi royality kampani sababu they diserv massive double taxations. We need to tax companies which exprote madini, and then taxes Sinclair shares. At least tax braket should be 35%.
 
Mtanganyika.. anachofanya Sinclair ni kutumia watalaamu na teknolojia kuangalia madini fulani yako wapi. Sasa akishajua eneo fulani lina uwezekano wa kuwa na madini ya aina fulani basi yeye anachukua Licence ya kuexplore... kuexplore hapo ni "kutafuta" tu si kuchimba. Sasa vipimo vikimuonesha kuwa mahali fulani kuna madini basi yeye anafile na security exchange na kusema wamegundua madini fulani mahali fulani.. then comes the mining companies..

Sasa sinclair ana special arrangement na Barrick kuwa ndio anakuwa mnunuzi wa kwanza (akikataa ndio wengine wanapewa nafasi). Arrangement hiyo inakuja kwa sababu Barrick walichangia capital kwenye uanzishaji wa TRC. Sasa ile kampuni ya uchimbaji ikija kuchukua eneo hilo ndio wanaingia mkataba wa kulipa mrabaha kwa Sinclair.. na hapo ndipo sinclair anatengeneza pesa yake.
 
Tanzanian Royalty Exploration Corporation engages in the acquisition and exploration of natural resource properties with a focus on gold properties in Tanzania. The company holds interests in various properties, including the Itetemia property, which consists of 8 prospecting licenses covering approximately 79 square kilometers; the Luhala property that comprises 6 prospecting licenses covering an area of approximately 74 square kilometers; the Lunguya property, which consists of 10 prospecting licenses covering approximately 297 square kilometers; and the Tulawaka project that consists of 9 prospecting licenses covering approximately 206 square kilometers.

Tanzanian Royalty Exploration also has interests in 136 mineral resource properties in the Lake Victoria Greenstone Belt and Kabanga/Kagera Nickel Belt regions. In addition, it has royalty agreements with three industry partners covering 17 prospecting licences, including 1 prospecting licence under agreement with Barrick Gold Corporation; 5 prospecting licenses with MDN, Inc.; and 11 with Sloane Developments, Inc. Further, it has rights to acquire a 100% interest in the Ngobo and Sima prospecting licenses.

The company was founded in 1990. It was formerly known as Tan Range Exploration Corporation in 1991 and changed its name to Tanzanian Royalty Exploration Corporation in 2006. The company is based in Surrey, Canada.
 
Mtanganyika.. anachofanya Sinclair ni kutumia watalaamu na teknolojia kuangalia madini fulani yako wapi. Sasa akishajua eneo fulani lina uwezekano wa kuwa na madini ya aina fulani basi yeye anachukua Licence ya kuexplore... kuexplore hapo ni "kutafuta" tu si kuchimba. Sasa vipimo vikimuonesha kuwa mahali fulani kuna madini basi yeye anafile na security exchange na kusema wamegundua madini fulani mahali fulani.. then comes the mining companies..

Sasa sinclair ana special arrangement na Barrick kuwa ndio anakuwa mnunuzi wa kwanza (akikataa ndio wengine wanapewa nafasi). Arrangement hiyo inakuja kwa sababu Barrick walichangia capital kwenye uanzishaji wa TRC. Sasa ile kampuni ya uchimbaji ikija kuchukua eneo hilo ndio wanaingia mkataba wa kulipa mrabaha kwa Sinclair.. na hapo ndipo sinclair anatengeneza pesa yake.

That is excatly nilichokuwa nasema. Thanks kwa kuelezea mkuu, yaani ni free hassle job. Anachofanya Sinclair kingeweza kufanywa na wizara ya madini. Hakuna ujuzi wowote wa kutengeza rocket au nuclear bomb anaoutumia huyu Sinclair
 
News Release - Monday, November 05, 2007
Title: Proposed US Mining Law Reinforces Tanzanian Royalty's Strategy to Focus on Republic of Tanzania

--------------------------------------------------------------------------------
Tanzanian Royalty wishes to announce that the recent passing of a bill by the U.S. House of Representatives requiring hard-rock mining companies to pay non-profit based royalties on minerals extracted from public lands will have no material impact on the company whatsoever.

The Company's mineral assets are located in Tanzania whose laws are designed to foster development of its mineral resources under a fiscal regime that returns real benefits to all stakeholders without compromising the country's environment.

"Similar laws have been put forward in the United States many times before and it will face strong opposition in the Senate and a White House veto as well," noted Tanzanian Royalty CEO, Jim Sinclair. "The enactment of this shortsighted legislation would only serve to increase American dependence on foreign sources of industrial commodities just like the nation has for oil."

Tanzanian Royalty has operated in the Republic of Tanzania for well over a decade and its exploration assets are located in some of the country's most prospective mineral belts. Tanzania sees the minerals industry as a key driver behind its efforts to improve the economic well being of its people at a time when demand for mineral commodities has reached historic levels.

Respectfully Submitted,

"James E. Sinclair"

James E. Sinclair Chairman and Chief Executive Officer

Tunawaudhi sana.....,

Wanaukumbi nimejaribu kupitia Chairman's corner kwenye link http://www.tanzanianroyaltyexploration.com/s/ChairmansCorner.asp?numCols=1&page=6 Lengo ilikuwa kujiridhisha kuwa kweli Sinclar alitype na ku-post phrase chafu kama:

"The Company's mineral assets are located in Tanzania whose laws are designed to foster development of its mineral resources under a fiscal regime that returns real benefits to all stakeholders without compromising the country's environment"

Kwa bahati mbaya upekuzi wangu umegongwa mwamba na kuniacha na nadharia kuu mbili.

1. Lugha ya maudhi iliyomo ndani ya message hii imemlazimu web-editor kuiondoa msg hii. Na hili litakuwa limefanyika baada ya kuletwa hapa.

2. Upembuzi wangu haukuwa yakinifu na hivyo nahitaji msaada wa Mwkjj kupewa direct link ya hiyo post.

Vyovyote iwavyo Sinclar ana dharau ya hali ya juu.
 
Mwanakijiji,
Mrahaba huo ulikuwa ulipwe kwa serikali ya Tanzania kama si Watanzania. Sinclair si Tanzania Inc. au?
 
Back
Top Bottom