KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
good ! utundike basi hapa !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buzwagi, Karamagi, Kikwete, and James Sinclair... Waheshimiwa nimebahatika kuuona mkataba kati ya Barrick Gold na Tanzania Royalty Exploration ambayo Kikwete na Msabaha ni wana hisa... now I know why?

Mwanakijiji,
Hebu eleza vema. JK na Msabaha ni WANA HISA? Tafadhari fafanua.
Excuse me...Mimi sina uzoefu kwenye mambo ya biashara ya madini na rasilimali zingine zilizopo chini ya arthi...lakini hii inaonekana japo kwa ishara tu kuwa tumeliwa tena bila vaseline wala ky...!!!
Buzwagi, Karamagi, Kikwete, and James Sinclair... Waheshimiwa nimebahatika kuuona mkataba kati ya Barrick Gold na Tanzania Royalty Exploration ambayo Kikwete na Msabaha ni wana hisa... now I know why?
M'kijiji,
Sio wewe uliyekuwa unahimiza tuwe na hisa kwenye makampuni haya?
Mtu yeyote (ANYONE) ikikujumuisha wewe unaweza kuwa na hisa kwenye makampuni haya. Issue isiwe nani ana hisa, kwa na hisa kuwa "issue" ni ujinga au wivu.
Issue iwe, je mkataba huo una manufaa au ulipindishwa ili tupate hasara?
Nakaa nafikiri...naweza kununua hisa za kampuni zote zilizokuwa registered kwenye stock markets. Sasa huu uelewa wangu wa "stock markets trade" ndio iwe dhambi yangu?
M'kijiji tufafanulie zaidi huo mtazamo wako wa kufanya rais kuwa na share kwenye kampuni ni big deal. Wangapi tuna share TBL, Tanga Cement, etc etc na haijawa dhambi. Dhambi inakuja pale unapokuwa rais au Waziri?
Nenda http://www.sharebuilder.com uone unavyoweza kuanza kununua hisa kirahisi za kampuni yoyote unayoitaka. Nimeona niandike hii mapema ili tufute FITNA kwamba kuwa na hisa kwenye kampuni ni dhambi.
Otherwise tusubiri huo mkataba uchambuliwe tujue pumba zipi na mchele(au chenga) ziko wapi.